Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa katika ulimwengu wa bangi miaka ya 1970.

Mpaka leo watanzania wanavuta bangi ya msituni inayoachwa ijiotee bila usimamizi, matokeo yake bangi wanazovuta pengine ndio zinasababisha vituko tunavyovisikia.

Wao huenda mbali kuaminishana "Cha Arusha", "Tarime", "Cha malawi", "Cha Mbeya", n.k, kwamba zinafanana na viwango vya bangi za Marekani, jibu fupi ni kwamba wapo bado gizani na hawana elimu ya kilevi wanachotumia,

Kuanzia miaka ya 1970 bangi inayolimwa haina mbegu, ni huku Tanzania na nchi nyingi Africa bado tupo gizani, ukitaka kuniamini hili nenda kwenye kijiwe cha wavuta bangi wtakwambia "huwezi kutuambia chochote kuhusu bangi hakuna bangi isiyo na mbegu"

Kwa elimu ya shule ya msingi tulijifunza kwamba ili mmea utoe mbegu, inabidi mmea wa kike (female blant) unase mbegu za mmea wa kiume (male pant), mbegu hizo huwa katika mfumo wa unga (pollen) na husambaza kwa upepo, kuhamishwa na ndege, n.k.

hivyo ili mmea usizalishe mbegu inabidi mkulima apambane sana shambani kuzuia pollen isifikie mmea wa kike.

Bangi inavyoota ikizuiwa kuzalisha mbegu matokeo yake mmea unaweka nguvu zote kuzalisha kilevi na sio mbegu, hii ndio bangi inayokuwa na viwango na salama kwa afya tofauti na huku kwetu watu wanavuta bangi za msituni zimeachwa tu zijiotee bila uangalizi.

Huku Tanzania bangi inayouzwa ni lazima ukute ina mambegu na ni lazima uichambua lakini bado huwa kuna chembechembe zisizoonekaa zinabaki kwenye msokoto, mbegu hutolewa sababu hazina kilevi, zinafanya kichwa kiume, ukizivuta upo hatarini kuwa hanith ama kupunguza nguvu za kiume, zikivutwa zinapasuka kwa sauti kali zikiangukia nguo zinatoboa, hufanya macho yawe mekundu zaidi kuliko bangi isiyo na mbegu, pia huwa zinaathiri mishipa ya ubongo.

Halafu kuna huu ujinga mwengine unaoonyesha wazi watanzania wanaovuta hawajui chochote, mtu anasifia bangi dume ina ubora zaidi anajionyesha wazi yupo gizani utawasikia "kitu ni dume hiki ni chenyewe", hawana hata elimu ya kujua kinachovutwa huwa ni maua yanayozaliswa na mmea jike, yale mambegu wanayotupa ni sehemu ya mmea dume.
Watu wanatumia Skanka siku hizi, wanakula hadi biskuti zake acha kabisaa 😂
 
Mkuu...
Fafanua kidogo ni Aina ipo ya Bangi unayo isemea Kwa maana
Bangi zipo Kwa Aina mbalimbali kama zilivyo mboga za majani , kila moja kwa ladha yake mnafu hauna ladha ya mchicha kila moja huwa na upekee wake,
Na Kwa upande wa uangalizi katika kilimo Cha Bangi ,sio kweli Kuwa Bangi inayovyutwa Tz yote hujiotea tu misituni
Nyingine hupandwa kabisa katika mashamba makubwa tu, ila sehemu kubwa ya mashamba hayo huwa misituni na sababu ya kulimia huko misituni , nikujuficha na kujilinda na mkono wa sheria kwani kujihusisha na kilimo Cha Bangi ni kosa ndani ya Tz,
Na pia mashamba hayo ya misituni yana uangalizi na ulinzi wa kutosha pia,
Kinachofanya Bangi ilimwe misituni ni kukwepa sheria
 
Tunavutaje makapi wakati kitu fress tunachuma na kuvundika chooni
Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa katika ulimwengu wa bangi miaka ya 1970.

Mpaka leo watanzania wanavuta bangi ya msituni inayoachwa ijiotee bila usimamizi, matokeo yake bangi wanazovuta pengine ndio zinasababisha vituko tunavyovisikia.

Wao huenda mbali kuaminishana "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Mbeya", n.k, kwamba zinafanana na viwango vya bangi za Marekani, jibu fupi ni kwamba wapo bado gizani na hawana elimu ya kilevi wanachotumia,

Kuanzia miaka ya 1970 bangi inayolimwa haina mbegu, ni huku Tanzania na nchi nyingi Africa bado tupo gizani, ukitaka kuniamini hili nenda kwenye kijiwe cha wavuta bangi wtakwambia "huwezi kutuambia chochote kuhusu bangi hakuna bangi isiyo na mbegu"

Kwa elimu ya shule ya msingi tulijifunza kwamba ili mmea utoe mbegu, inabidi mmea wa kike (female blant) unase mbegu za mmea wa kiume (male pant), mbegu hizo huwa katika mfumo wa unga (pollen) na husambaza kwa upepo, kuhamishwa na ndege, n.k.

hivyo ili mmea usizalishe mbegu inabidi mkulima apambane sana shambani kuzuia pollen isifikie mmea wa kike.

Bangi inavyoota ikizuiwa kuzalisha mbegu matokeo yake mmea unaweka nguvu zote kuzalisha kilevi na sio mbegu, huzalisha maua makubwa zaidi yenye kilevi pure, hii ndio bangi inayokuwa na viwango na salama kwa afya tofauti na huku kwetu watu wanavuta bangi za msituni zimeachwa tu zijiotee bila uangalizi.

Huku Tanzania bangi inayouzwa ni lazima ukute ina mambegu na ni lazima uichambua lakini bado huwa kuna chembechembe zisizoonekaa zinabaki kwenye msokoto, mbegu hutolewa sababu hazina kilevi, zinafanya kichwa kiume, ukizivuta upo hatarini kuwa hanith ama kupunguza nguvu za kiume, zikivutwa zinapasuka kwa sauti kali zikiangukia nguo zinatoboa, hufanya macho yawe mekundu zaidi kuliko bangi isiyo na mbegu, pia huwa zinaathiri mishipa ya ubongo.

Halafu kuna huu ujinga mwengine unaoonyesha wazi watanzania wanaovuta hawajui chochote, mtu anasifia bangi dume ina ubora zaidi anajionyesha wazi yupo gizani utawasikia "kitu ni dume hiki ni chenyewe", hawana hata elimu ya kujua kinachovutwa huwa ni maua yanayozaliswa na mmea jike, yale mambegu wanayotupa ni sehemu ya mmea dume.
 
Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa katika ulimwengu wa bangi miaka ya 1970.

Mpaka leo watanzania wanavuta bangi ya msituni inayoachwa ijiotee bila usimamizi, matokeo yake bangi wanazovuta pengine ndio zinasababisha vituko tunavyovisikia.

Wao huenda mbali kuaminishana "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Mbeya", n.k, kwamba zinafanana na viwango vya bangi za Marekani, jibu fupi ni kwamba wapo bado gizani na hawana elimu ya kilevi wanachotumia,

Kuanzia miaka ya 1970 bangi inayolimwa haina mbegu, ni huku Tanzania na nchi nyingi Africa bado tupo gizani, ukitaka kuniamini hili nenda kwenye kijiwe cha wavuta bangi wtakwambia "huwezi kutuambia chochote kuhusu bangi hakuna bangi isiyo na mbegu"

Kwa elimu ya shule ya msingi tulijifunza kwamba ili mmea utoe mbegu, inabidi mmea wa kike (female blant) unase mbegu za mmea wa kiume (male pant), mbegu hizo huwa katika mfumo wa unga (pollen) na husambaza kwa upepo, kuhamishwa na ndege, n.k.

hivyo ili mmea usizalishe mbegu inabidi mkulima apambane sana shambani kuzuia pollen isifikie mmea wa kike.

Bangi inavyoota ikizuiwa kuzalisha mbegu matokeo yake mmea unaweka nguvu zote kuzalisha kilevi na sio mbegu, huzalisha maua makubwa zaidi yenye kilevi pure, hii ndio bangi inayokuwa na viwango na salama kwa afya tofauti na huku kwetu watu wanavuta bangi za msituni zimeachwa tu zijiotee bila uangalizi.

Huku Tanzania bangi inayouzwa ni lazima ukute ina mambegu na ni lazima uichambua lakini bado huwa kuna chembechembe zisizoonekaa zinabaki kwenye msokoto, mbegu hutolewa sababu hazina kilevi, zinafanya kichwa kiume, ukizivuta upo hatarini kuwa hanith ama kupunguza nguvu za kiume, zikivutwa zinapasuka kwa sauti kali zikiangukia nguo zinatoboa, hufanya macho yawe mekundu zaidi kuliko bangi isiyo na mbegu, pia huwa zinaathiri mishipa ya ubongo.

Halafu kuna huu ujinga mwengine unaoonyesha wazi watanzania wanaovuta hawajui chochote, mtu anasifia bangi dume ina ubora zaidi anajionyesha wazi yupo gizani utawasikia "kitu ni dume hiki ni chenyewe", hawana hata elimu ya kujua kinachovutwa huwa ni maua yanayozaliswa na mmea jike, yale mambegu wanayotupa ni sehemu ya mmea dume.
Wewe bwege, waambie Wamarekani wanavuta tumbaku tu wala siyo bangi. Achana na sisi tuna kula kitu original toka msituni.

Bangi gani unawekee mbolea, dawa za kuua wadudu halafu mbegu yenyewe imetoka kwenye pakiti.

Mtu unavuta bangi halafu unabaki na akili ya kawaida bado hiyo unaiita Bangi? Acheni dharau kwa Bob Marley na Peter Tosh.

Futa uzi huu
 
Navuta picha ya mwandishi anafanana na rip shalo milionea mwenyezi wa s.a.w amrehemu
 
Wewe bwege, waambie Wamarekani wanavuta tumbaku tu wala siyo bangi. Achana na sisi tuna kula kitu original toka msituni.

Bangi gani uowekee mbolea, dawa za kuua wadudu halafu mbegu yenyewe imetoka kwenye pakiti.

Mtu unavuta bangi halafu unabaki na akili ya kawaida bado hiyo unaiita Bangi? Acheni dharau kwa Bob Marley na Peter Tosh.

Future uzi huu
Huwaa unazivuta mbegu unazozikuta kwenye maua ?
 
Ohhh sasa nimekupata Unamaanisha Sinsemilla?
But Sinsemilla sio aina Ya mmea ni Jinsi ya kuhudumia Mmea wa Marijuana au Bangi ili uproduce high Psychoactive Cannabiod kwa kutoruhusu Mbegu...
Ndo ulikuwa unazungumzia hiyo kitu???
Umegonga ndipo,

Bangi inayoota bila kuihudumia huko maporini ndio hio utaikuta ina seeds kibao
 
Back
Top Bottom