Aina kuu tano za ukahaba

Ukisema mtu anapenda sex na unampata kwa maneno tu
huwezi tena kusema huyo mtu anajiuza
kujiuza ni ku sex ili upate pesa

Sasa kama mtu anafanya kwa starehe zake au kwa kiu kubwa ya mwili wake
why umuite anajiuza?

Kumbuka japo anafanya kwa starehe zake na kwa kiu yake ila bila kupewa hela hafanyi!.......kihesabu maana yake anaprefer money kuliko sex pleasure!!
 
Ungehitimisha kwa kusema wanawake wote waliopo duniani ni malaya ila wametofautiana makundi waliyopo.

Hapana sio kweli kunawanaojielewa kwakauli yako nisawa na kuchanganya buzi na sungura kisawote wanamikia mifupi minimepingana na wewe ninaimani hata wewe kwenyekundi hilo la ukahaba haupo
 
Kuna aina kuu tano za ukahaba zinazofanywa na madada zetu. Kuna wengine wanajua wanafanya biashara ya kujiuza na kuna wengine hawajui kama wako sokoni.

Direct prostitution: Hawa ni wale wanaojiuza direct. Yaani usiku kwao ndio mchana. Huwa wanajiuza kwenye kumbi za starehe na kwenye madanguro. Wengi wanajihusisha kwa ajili ya ugumu wa maisha, wengine wanapenda kujiuza na wengine wanaenda kwa starehe. Wengi hawana akili za kujitafutia kipato mtaji ni sehemu zao za siri na pesa huishia kwenye vipodozi, hata hawana akili ya kujiwekea akiba. Mwisho wao hupata ngoma na kudharaulika na jamiii nzima.

Indirect prostitution:
Hawa ni wale wanaojiona wana maadili. Lakini wanajiuza bila wao wenyewe kujua na wengine wanajua. Hawa ni wale wanaopenda kuwa na wanaume wenye pesa. Yani akisikia au kuona mwanaume ana pesa anapagawa sana. Kundi kubwa sana la wanawake wanaangukia hapa. Baadhi yao wanazo akili ya kujitafutia pesa. Na wanawake wa hivi mapenzi hayadumu. Kwa sababu akipata pesa kumzidi mwanaume anaanza kubadilika au pale mwanaume anapofulia hiyo migogoro utaomba ardhi ipasuke. Hio tabia sio nzuri usipende pesa kila mtu ana akili na pia una nguvu za kutafuta. Utanyanyasika ukipata mwanaume katili.

Offer ladies:
Hawa ni wale madada duu wa party. Hawa hawaitaji uwape pesa ila wanataka offer kama bia, lift. Ukimpa mbili unapita nae. Kesho mkiamka mnasingizia pombe kila mmoja anapita njia yake, watoto wa mjini wanaita mbinu za kilevi. Hawa ni wale wadada ukiwatoa out kama club, dinner lunch, lift unawapitia kirahisi sana. Kosa lao wanasahau kwamba na wao wanaweza fanya kazi wakaishi maisha mazuri wanaotaka. Tabia hii sio nzuri wafanye kazi wajipatie kipato na sio UKIMWI.

Sexual demon
: Hawa ni wale wanaopenda chini sanaa. Hata akiolewa ukimtia saundi hawawezi kukataa. Hawaitaji offer, pesa wala bia wanaitaji ujasiri wako kutoa maneno yani sound. Hawa huwaga hawanaga ubavu wa kusema NO. Hawawezi kukataa. Kwa jina lao maarufu ni 'maharage ya mbeya', maji mara moja yanaiva. Hii tabia sio nzurii kwani utaishia kupata maambukizi na majina mabaya. Kama 'mama huruma' nk.

Social network prostitution: Hawa ni wale wanaotongozwa kwenye mitandao au kujiuza. Hii tabia sio nzuri kwani wengi hufanyiwa ukatili sana ikiwa ni pamoja na kuuliwa. Wengi wao huzalilishwa hata kupigwa picha za utupu. Utaishia kupata UKIMWI.

Utaishia kulaumu wanaume ni wabaya ila chaguo na njia unazopitia ndio mbaya. Sifa ya mwanaume ni kupanda na kupiga saundi. Na sifa ya mwanamke bora ni kuweza kukataa na kuwa na msimamo na machaguo sahihi.
Upo sahihi sana
 
Hii ngoja nimwoneshe demu mmoja anajidai maadili sana lakini anagongwa na wenye chapaa tu
 
Back
Top Bottom