Aina ipi ya friji yenye milango miwili ambayo ni nzuri?

wadau naomba kujuzwa faida iliyopo kati ya fridge mlango mmoja na miwili.
Mm napendelea sana mlango mmoja, ila nashangaa wengi wanapenda milango miwili!
 
wadau naomba kujuzwa faida iliyopo kati ya fridge mlango mmoja na miwili.
Mm napendelea sana mlango mmoja, ila nashangaa wengi wanapenda milango miwili!
Kimsingi Milango miwili inakupa nafasi zaidi ya kuhifadhi vitu.Ila sina uhakika kama ni issue ya unapenda nini tu au unazingatia matumizi yako ya hilo fridge,Assume una vitu vichache vya kuweka,nafasi ndogo ya nyumba na pia huhitaji kutumia umeme mwingi hapo lazima utanunua friji ya mlango mmoja.

Chaguo langu limezingatia "rationale" ya kuwa na friji as opposed to "namimi niwe nalo la milango miwili".
 
Kanunue boss kwa hiyo ela inatosha na usafiri utapewa mpaka kwako. Ingia instagram page inaitwa amazing life style uone mwenyewe
 
Mwingine humu ni mfanyabiashara anakuelekeza kumbe ni dukani kwake ila ukweli wa uzuri na ubora wa friji nzuri tembelea majirani uone za kwao zinavyofanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…