Milango miwili mkuu hiyo laki tano atapata hiyo brandWestpoint ndio wa ukwel hao wengine majina tu
Kimsingi Milango miwili inakupa nafasi zaidi ya kuhifadhi vitu.Ila sina uhakika kama ni issue ya unapenda nini tu au unazingatia matumizi yako ya hilo fridge,Assume una vitu vichache vya kuweka,nafasi ndogo ya nyumba na pia huhitaji kutumia umeme mwingi hapo lazima utanunua friji ya mlango mmoja.wadau naomba kujuzwa faida iliyopo kati ya fridge mlango mmoja na miwili.
Mm napendelea sana mlango mmoja, ila nashangaa wengi wanapenda milango miwili!
Hata vingine watakua wanapenda milango miwiliwadau naomba kujuzwa faida iliyopo kati ya fridge mlango mmoja na miwili.
Mm napendelea sana mlango mmoja, ila nashangaa wengi wanapenda milango miwili!
MhayaMkuu mbona so far nyingi au ndio mambo yetu
Kanunue boss kwa hiyo ela inatosha na usafiri utapewa mpaka kwako. Ingia instagram page inaitwa amazing life style uone mwenyewePoleni na majukumu wana jamvi!
Nina kiasi cha laki tano, ninaomba kujuzwa juu ya aina ya friji yenye milango miwili ambayo ni nzuri na ninaweza kuinunua kwa hela niliyonayo.
Niko Dar es salaam, nitashukuru nikielekezwa pia maduka yenye hizo friji pia.
Natanguliza shukrani!