Aina 2 za uzazi wa mpango zinazokubalika na Mungu

Uzaz wa mpango weny manufaa n ule wa kwenu wawili tu mlioshauriana na
Co huu wa vidonge na,sindano
 
Huyu muhubiri akitoka hapa anaenda kugonga zake nyagi maisha yanasonga. Hawa ndio wahubiri dotcom
 
Sijauliza ni ipi iliyowaita...iwe Biblia au quran

Wewe umepata wapi mamlaka hayo?

Una uhakika na umalaya na ukahaba wao?
Anachosema mkuu ni KWELI wala hahukumu. Yaani ukimwona binti tena hajaolewa anahangaika na uzazi wa Mpango, jua ya Kuwa Huyo ni mzizi/kahaba maana kwa nini ahangaike juu ya uzazi wa Mpango ikiwa yeye si mzizi. Neno linasema mtawatambua kwa matunda yao. Hivyo, tunda mojawapo la mzizi ni kutafuta namna yoyote itakayofanya asipate ujauzito.

Mamlaka ya kunena kweli ya Mungu tunaipata kwa Mungu mwenyewe.

Mwanadamu mwenye tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu, maana kwake huyo ni upuuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

Watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli wala wao kujiambia ukweli, huku wakijidanganya nafsi zao wakijificha chini ya kichaka cha kuwahukumu wengine
 
Back
Top Bottom