kelvin miho
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 281
- 134
- Thread starter
- #41
OkLakini hiyo "xoxo" ina maana ya kisses and hugs, so .... mm sioni kama ni shida as long as unamtumia babe.

ahaha nipoSpell checker wangu upo
Ukiona huyafanyi hayo ujue uanaume wako una matatizo. Ni namba 4 na 10 tu ndio havipaswi kufanywa na mwanaume.Na bado Unajiita mwanaume....
1. Umempa mimba mara tatu mwanamke wako, mara zote umemshinikiza azitoe halafu unamuacha, unaenda kuoa mwanamke mwingine. Halafu bado unajiita mwanaume.
2. Unamnyanyasa na kumpiga mkeo, unamdahrau mbele ya vinuka mkojo vyako. Halafu bado unajiita mwanaume.
3. Unambaka mwanamke na unadai unampenda sana. Halafu bado unajiita mwanaume.
4. Unalala na binti yako, eti kwa sababu umeona kifua kimechanua. Halafu bado unajiita mwanaume.
5. Una nyumba mbili na wake wawili. Na hakuna hata mmoja kati yao anaejua uko na mwanamke mwingine wa tatu. Na bado unajiita mwanaume.
6. Umepokea mshahara wako, unatumia kwenye pombe, sigara, wanawake na huachi kitu kwa mkeo. Na bado unajiita mwanaume.
7. Unaingia katika mahusiano, kwa ajili tu ya kumtumia huyo msichana kumkomoa mwanamke uliyekua unampenda. Na bado unajiita mwanaume.
8. Unamlazimisha mwanamke ngono kwa kutumia mamlaka yako aitha kielimu, kisiasa, kidini na pesa ulizonazo. Na bado unajiita mwanaume.
9. Unafanya ngono na mdogo wa mke wako, na unamwambia unatamani ungemuoa yeye. Na sasa ana ujauzito wako. Halafu bado unajiita mwanaume.
10. Unatembea huku suruali ipo katikati ya makalio, unatembea unanesa kama umekatika centre bolt, unatembea na selfie stick, uandishi wako ni wa 'Xaxa', 'xoxo', 'K' , unaongea huku unajiramba midomo na kurembua macho, umejiunga na team zari na team wema, siku nzima upo IG kutukana matusi ya nguoni. Halafu unajiita mwanaume.
Ninao wasiwasi na uanaume wako, huenda ni mvulana....
[HASHTAG]#SeeYouAtTheTop[/HASHTAG]
Okahaha nipo
Mmmh so wew wamaanisha kwamba unaagree na hoja za hapo ??? Ok naweza hisi unandoa mbili na zaid coz u mkandamizaj kwa wanawakeUkiona huyafanyi hayo ujue uanaume wako una matatizo. Ni namba 4 na 10 tu ndio havipaswi kufanywa na mwanaume.
HIZO SIFA ZOTE NI ZA MWANAUME KAMILI.Na bado Unajiita mwanaume....
1. Umempa mimba mara tatu mwanamke wako, mara zote umemshinikiza azitoe halafu unamuacha, unaenda kuoa mwanamke mwingine. Halafu bado unajiita mwanaume.
2. Unamnyanyasa na kumpiga mkeo, unamdahrau mbele ya vinuka mkojo vyako. Halafu bado unajiita mwanaume.
3. Unambaka mwanamke na unadai unampenda sana. Halafu bado unajiita mwanaume.
4. Unalala na binti yako, eti kwa sababu umeona kifua kimechanua. Halafu bado unajiita mwanaume.
5. Una nyumba mbili na wake wawili. Na hakuna hata mmoja kati yao anaejua uko na mwanamke mwingine wa tatu. Na bado unajiita mwanaume.
6. Umepokea mshahara wako, unatumia kwenye pombe, sigara, wanawake na huachi kitu kwa mkeo. Na bado unajiita mwanaume.
7. Unaingia katika mahusiano, kwa ajili tu ya kumtumia huyo msichana kumkomoa mwanamke uliyekua unampenda. Na bado unajiita mwanaume.
8. Unamlazimisha mwanamke ngono kwa kutumia mamlaka yako aitha kielimu, kisiasa, kidini na pesa ulizonazo. Na bado unajiita mwanaume.
9. Unafanya ngono na mdogo wa mke wako, na unamwambia unatamani ungemuoa yeye. Na sasa ana ujauzito wako. Halafu bado unajiita mwanaume.
10. Unatembea huku suruali ipo katikati ya makalio, unatembea unanesa kama umekatika centre bolt, unatembea na selfie stick, uandishi wako ni wa 'Xaxa', 'xoxo', 'K' , unaongea huku unajiramba midomo na kurembua macho, umejiunga na team zari na team wema, siku nzima upo IG kutukana matusi ya nguoni. Halafu unajiita mwanaume.
Ninao wasiwasi na uanaume wako, huenda ni mvulana....
[HASHTAG]#SeeYouAtTheTop[/HASHTAG]
Kwa ndoa na family yako meybHIZO SIFA ZOTE NI ZA MWANAUME KAMILI.
Kuwa na ndoa mbili au zaidi sio ukandamizaji, ni upendo. Wewe mwenye mke mmoja ndio una roho mbaya, yaani rundo loooote hilo la wanawake we umempenda mmoja tu, wengine huwapendi...dah!Mmmh so wew wamaanisha kwamba unaagree na hoja za hapo ??? Ok naweza hisi unandoa mbili na zaid coz u mkandamizaj kwa wanawake
Ikiwa kuna anayekosa sifa hata moja kati ya hizo ulizotaja...basi ni Mwanamke.
Zingine badoDuuh sifa zote hizo za mtu mmoja!!