Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Ni aibu sana kwa mwanaume kuitelekeza familia yake kwakisingizio cha kuachana / kukosa maelewano na mwanamke aliyemzalisha. Sifa kubwa inayo mueleza mwanaume ni wajibu wake kwa familia yake .
Mwanaume aliyekamilika hawezi kukubali watu wengine wamlelee watoto wake wakati yeye yupo hai , that is stupidity
Mwanaume aliyekamilika hawezi kukubali watu wengine wamlelee watoto wake wakati yeye yupo hai , that is stupidity