Aibu:Cheka adanganywa, apigana na fundi kinyozi wa Marekani!

Francis Cheka
Global ID185091
sexmale
birthdate1982-04-15 (age 31)
manager/agentregister
divisionsuper middleweight
rating
21 / 909

1 / 17
height5′ 10½″ / 179cm
countryTanzania
residenceMorogoro, Tanzania
birth placeDar-Es-Salaam, Tanzania
birth nameFrancis Boniface Cheka
won 30 (KO 16) + lost 7 (KO 4) + drawn 1 = 38
rounds boxed 259 KO% 42.11







Lb St Kg | ↑date↓ | ratings off on
|
print
dateopponentW-L-Dlast 6location

2013-08-30Phil Williams12-5-2
Diamond Jubilee Hall, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWPTS1212
vacant World Boxing Federation super middleweight title

2013-08-10Chimwemwe Chiotcha10-2-0
Jamhuri Stadium, Morogoro, TanzaniaWUD88
referee: Anthony Ruta | judge: Emmanuel Mlundwa 78-74 | judge: Said Chiddy 79-73 | judge: Chaurembo Palasa 79-73

2013-05-01Thomas Mashali7-0-1
PTA Hall, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWKO1012
time: 2:35 | referee: John Shipanuka | judge: Ismail Sekisambu | judge: Daudi Chikwanje | judge: Simon Katongole
IBF Continental Africa super middleweight title

2013-03-22Uensal Arik17-1-0
Universal Hall, Berlin, GermanyLTKO712
time: 0:15 | referee: Benny Decroos | judge: Jean-Pierre Van Imschoot | judge: Arno Pokrandt | judge: Thomas Hakenberg
vacant IBF Inter-Continental super middleweight title (supervisor: Roberto Rea)

2012-12-27Chimwemwe Chiotcha10-1-0
Sheikh Amri Abeid Stadium, Arusha, TanzaniaWSD1212
referee: Nemes Kavishe | judge: Boniface Wambura 118-112 | judge: Jalus Lugongo 120-115 | judge: Daudi Chikwanje 114-116
IBF Continental Africa super middleweight title (supervisor: Onesmo Ngowi)

2012-09-29Karama Nyilawila13-8-2
PTA Hall, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWTKO612
referee: Jerome Waluza | judge: Anthony Ruta | judge: Pembe Ndava | judge: Rajabu Mlowe

2012-04-28Mada Maugo14-7-0
PTA Hall, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWRTD612
time: 3:00 | referee: John Shipanuka | judge: William Sekeleti | judge: Simon Katongole | judge: Ismail Sekisambu
vacant IBF Continental Africa super middleweight title (supervisor: Onesmo Ngowi)

2012-01-28Karama Nyilawila13-7-2
Jamhuri Stadium, Morogoro, TanzaniaWUD1010
referee: Nemes Kavishe | judge: John Chagu 100-96 | judge: Mark Hatia 99-97 | judge: Boniface Wambura 99-97

2011-09-01Mada Maugo12-6-0
Jamhuri Stadium, Morogoro, TanzaniaWMD1010
referee: Nemes Kavishe | judge: Mark Hatia 99-98 | judge: Kulwa Makalanga 100-98 | judge: George Sabuni 99-99

2011-06-25Daniel Wanyonyi8-4-2
Jamhuri Stadium, Morogoro, TanzaniaWUD1010
referee: Omari Yazidu 100-95 | judge: Ibrahim Kamwe 100-93 | judge: Kondo Nassoro 100-93

2011-01-01Mada Maugo11-5-0
PTA Hall, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWMD88
referee: Ally Bakari Champion | judge: Ibrahim Kamwe 79-79 | judge: Abdallah Mpemba 79-78 | judge: Kondo Nassoro 79-78

2010-09-11Med Sebyala3-3-1
Jamhuri Stadium, Morogoro, TanzaniaWUD1212
referee: Anthony Ruta | judge: Said Chaku 120-108 | judge: George Ngalula 120-108 | judge: Agapeter Mnazareth 120-108

2009-12-19Isak Tavares14-7-0
PTA Hall, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWKO212
referee: Jerome Waluza | judge: George Ngalula | judge: Anthony Ruta | judge: Jalus Lugongo
Tavares floored 3 times in round 1 and 1 time in round 2.

2009-10-02Japhet Kaseba1-0-0
Uhuru Stadium, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWTKO912
time: 2:06 | referee: Anthony Ruta | judge: George Ngalula 80-75 | judge: Ally Bakari Champion 79-75 | judge: Omari Yazidu 80-74

2009-05-30Ramil Nadirov1-1-0
Mkwakwani Stadium, Tanga, TanzaniaWRTD112
time: 3:00 | referee: Bakari Seleman | judge: Anthony Ruta 10-9 | judge: Omari Yazidu 10-10 | judge: Ally Bakari Champion 10-9
Ramil Nadirov's cornerman Navai Kazimov did not allow his boxer to answer the bell for round 2.

2009-02-13Rashid Matumla39-9-1
Jamhuri Stadium, Morogoro, TanzaniaWUD1212
referee: Emmanuel Mlundwa | judge: Anthony Ruta 119-118 | judge: Omari Yazidu 118-117 | judge: Ally Bakari Champion 119-115

2008-12-13Joseph Odhiambo1-16-0
Vijana Social Hall, Morogoro, TanzaniaWKO18
time: 2:46 | referee: Bakari Seleman

2008-09-06Matthew Macklin21-2-0
M.E.N. Arena, Manchester, Lancashire, United KingdomLPTS1010x3
referee: Keith Garner 92-100

2008-03-01Hassan Matumla14-6-0
Diamond Jubilee Hall, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWKO1012
referee: Anthony Ruta | judge: George Ngalula | judge: Omari Yazidu | judge: Jerome Waluza
Hassan matumla was knocked down once both in rounds 9 and 10.

2008-02-08Geard Ajetovic15-1-1
Leisure Centre, Peterlee, County Durham, United KingdomLPTS88x3
referee: Mark Curry 74-80

2007-12-08Paul Smith21-0-0
Bolton Arena, Bolton, Lancashire, United KingdomLPTS88x3
referee: Mickey Vann 74-79

2007-11-03Rashid Matumla36-8-1
Temeke Luxury Pub, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWUD1010
referee: Anthony Ruta | judge: Simon Mlundwa 99-95 | judge: Ally Bakari Champion 99-96 | judge: Abdallah Mpemba 99-94
Rashid Matumla was knocked down in round 9.

2007-06-01Mbaruku Kheri3-2-0
New Msasani Club, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWKO310
referee: Bakari Seleman | judge: Anthony Ruta | judge: Ally Bakari Champion | judge: Simon Mlundwa
Portion of card sanctioned by PST

2006-03-31Mbwana Ally0-3-0
DDC Hall, Morogoro, TanzaniaWTKO210
PST Version

2005-07-09Robert Stieglitz26-0-0
Life Sportpark Herrenkrug, Magdeburg, Sachsen-Anhalt, GermanyLTKO512
time: 2:30 | referee: Manfred Kuechler | judge: Luciano Tagliamonte | judge: Wallfried Rollert | judge: Dusan Hecko
IBF Inter-Continental super middleweight title

2004-09-19Tom Chishaladebut
Diamond Jubilee Hall, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWUD1010
100-95 | 100-96 | 99-96

2004-04-25Rashid Matumla28-4-1
PTA Hall, Dar-Es-Salaam, TanzaniaWUD1010
100-93 | 100-95 | 100-93

2003-08-30Omary Singinedebut
Morogoro, TanzaniaWTKO3

2003-04-06Bagaza Mwambene12-1-0
Amana Hall, Dar-Es-Salaam, TanzaniaLTKO3

2003-01-23Rashid Matumla26-3-1
Dar-Es-Salaam, TanzaniaLTKO310

2002-10-27Maneno Oswald17-6-1
Dar-Es-Salaam, TanzaniaWPTS88

2002-08-08Maneno Oswald17-5-1
Morogoro, TanzaniaWPTS88

2001-04-28Alphonse Nelstory Kagobedebut
Morogoro, TanzaniaWTKO6

2001-02-26Matimbwa Allydebut
Morogoro, TanzaniaWKO3

2000-10-10Salum Chinadebut
Morogoro, TanzaniaWKO2

2000-08-16Yusuph Jibabadebut
Dar-Es-Salaam, TanzaniaWKO1

2000-06-12Abuu Nyenzedebut
Dar-Es-Salaam, TanzaniaDPTS88

2000-02-26Mbwana Allydebut
Dar-Es-Salaam, TanzaniaWKO24
Pro debut for Cheka
 
Kweli Tanzania ni nchi ya kudanganywa kiasi hiki! Hii ni hatari aisee.
tuliisha danganywa mengi na hili la cheka ni nyongeza tuu. tulidanganywa pesa si msingi wa maendeleo! tulidanganywa Tanzania ni nchi ya pili kwa uspy duniani! tulidanganywa tanzania ikiuza mali zake nchi za nje, haidai pesa bali huwekewa pesa zetu na mnunuzi huko huko ulaya, ila tukitaka kitu tuu tunamuambia mnunuzi atuletee, kitu kama matrekta, mbolea, sembe na spea za baiskeli, halafu akate kwenye akiba yetu!

tulidanganywa kuna waziri kiongozi znz kumbe ni waziri mkuu! tulidanganywa kuna baraza la wawakilishi, kumbe ni bunge la znz! tulidanganywa kuna ukumbi wa mikutano chimwaga, kumbe yale majengo yalikuwa ni chuo kikuu cha propaganda!
leo hii unataka promota wa cheka ashitakiwe wakati yeyey karithi uhuni huu toka kwa viongozi waliopita!

wewe tafuta gemu lako upumbaze watanzania na sio kulalamika , kalaga baho!!!
 
Safi sana jf raha sana ni zaidi ya burudani kama lingekuwa jf ni gazeti basi hakika kibongo bongo na hata a.mashariki lingekuwa halikamatiki.kuhusu juu ya ushahidi naamini mleta mada na huku kwenye source aliko okota hiyo habari ya kidaku daku wameshapata majibu yake.walijiona kama wanajua na waliamini kuwa wanajua na huku hawakujijua kama hawajui lakini jf imewajulisha mpaka wamejijua kuwa hawajui.
Big up jf pamoja sana kwa wale waliosaidia kutujuza ukweli halisi kwa sie ambao tungeweza toka na kuamini mazima juu ya hii habari
 
Mkuu Kuchasoni Kuchawangu ninahisia kuwa wewe pamoja na gazeti la FAHAMU kuna vitu mmejichanganya...

Awali Cheka na Phil walipigana kugombea mkanda wa WBF na wala sio IBO au WBC kwa uzito kama mlioutaja...Hili ni suala la kwanza kugundua kuwa taarifa yenu pia ina mushkeli

Baada ya muda nitakuja hapa kutoa ufafanuzi...

Utangulizi,
Kabla ya kwenda mbali labda nianze kwa kukanusha kuwa Saiko Bika ni bingwa wa dunia wa WBC katika uzito wa Super Middleweight na pia ni bingwa wa zamani wa dunia wa IBO katika uzito huo huo...

Ufafanuzi,
Mtandao wa BoxRec ni database inayoonesha mabingwa wote wa dunia kwa mikanda ya vyama vyote katika uzito tofauti...

Kwa mujibu wa mtandao huo, rekodi ya pambano la Cheka na Phil limeorodheshwa na mkanda wa WBF kwa uzito Super Middleweight ulikuwa wazi kabla ya wanamasumbwi hawa kutwangana...

Katika hicho chanzo, Cheka anatambuliwa kama bingwa mpya kwa mkanda huo uliogombewa siku hiyo (ingawa mtandao huo hauja verify)

Vyanzo Huru:

BoxRec Boxing Records

WBF Champions

Walau unanipa moyo jamani. I am not a boxing fan lakini hii taarifa imenichosha. Akili yangu imegoma kukubali kuwa the whole thing was a scam.
 
Walau unanipa moyo jamani. I am not a boxing fan lakini hii taarifa imenichosha. Akili yangu imegoma kukubali kuwa the whole thing was a scam.

Hahahah...
Mimi ni mpenzi wa michezo sana mkuu na hufuatilia michezo mingi sana...

Baada ya kuiona hii taarifa hapa na kuisoma vizuri nikagundua kabisa kuna makosa mengi tu...

Ni kweli Mkanda wa Super midleweight aliokabidhiwa Cheka unashikiliwa na bondia wa Australia Sakio Bika tangu mwaka 2008. Mwaka jana 2012 alitetea taji lake (la Super middle weight champion) kwa kumpiga Nikola Sjekloca

Sakio ni bingwa wa dunia wa WBC na sio WBF katika uzito huo wa Super Middleweight...
Mwaka huo 2008, Sakio alishinda taji lake la kwanza la dunia chini ya chama cha IBO kwa uzito huo.
Mwaka huo wa 2012 sio kweli kwamba Sakio alikuwa anatetea Ubingwa wake wa IBO alioutwaa mnamo 2008, bali mwaka huo alipanda ulingoni kujaribu kunyakua mkanda mpya chini ya WBC kwa uzito ule ule wa Super Middleweight.
Na wala hakupigana na Nikola Sjekloca kama huyo kanjanja alivyoandika, bali alipigana na Marco Antonio Periban na hatimaye Sakio akawa bingwa wa dunia kwa kumdunda Antonio.

Mkanda alioutwaa hautambuliki popote duniani
Ule mkanda ulikuwa upo wazi yaani haukuwa na bingwa hapo awali, sasa mwandishi anapoandika kuwa hautambuliwi na cha chochote huu ni ukanjanja mwingine.
 
Jamani vishoka hawapo Tanesco tu!,pia kwenye michezo wamo!;Na hao walioandaa ndio vishoka wenyewe.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ungekuwa wewe ungefanya nini?
Kazi ya kutoka na mzigo kama punga imezibwa na yule aliyenusurika rip;
Kwanini usiunganishe unganishe ukajipatia chochote siku zikasonga.
 
this news is a scam.... fanya utafiti kijana badala ya kuleta habari za gazeti la fahamu wanaotaka kuuza magazeti kwa sababu za kipuuz kama izo!!!
 
wewe na hilo gazeti wote ni waongo:

Francis Cheka WBF World Champion, Thomas Mashali All Africa King
line05.jpg
Posted on August 31 2013
By: Clive Baum


line05.jpg
Francis Cheka, the massively popular darling of Tanzanian boxing, is the new World Boxing Federation World Super Middleweight Champion after defeating tough American Phil "The Drill" Williams on Friday August 30 at the Diamond Jubilee Hall in Dar Es Salaam.

Cheka put on a dominant performance in front of 5000 fanatical fans, outfighting and outboxing Williams, using his wonderful left jab to control the pace. In round four the home-man dropped his foe with a right-left combination, but Williams managed to beat the count of South African referee Darryl Ribbink.
While Williams remained dangerous with his significant knockout-power throughout the fight, Cheka never looked in danger of losing, and after twelve rounds of boxing there was no real doubt as to who would be awarded the WBF championship belt.
Judges Fidel Haynes, John Chagu and Eddie Marshall scored the bout 116-113, 117-111 and 119-109 in favor of Francis Cheka, who improved his professional record to 30-7-1 (16). Phill Williams travels back to Minnesota with a deceiving 12-6-2 (11) ledger.
01382.jpg


In the evening's second WBF title fight, local rivals Thomas Mashali and Mada Maugo went at it for the vacant All Africa Super Middleweight crown. Both boxers had left most of their technical skills at home, and instead chose to go all out in what turned into a real war.
During the cause of the ten rounds, neither man gave an inch and continued to slug it out. It was not always petty, but it occasionally brought the spectators to their feat in excitement.
In the end the majority decision went to Mashali by scores of 95-94 from judges John Chagu and Darryl Ribbink, while Fidel Haynes had it even at 95-95. Referee was Eddie Marshall.
The new World Boxing Federation All Africa Super Middleweight Champion moved his record to 9-1-1 (5), and the losing co-challenger drops to 15-10 (11).
The Cheka vs. Williams, Mashali vs. Maugo WBF championship doubleheader, billed as "Title Night In Tanzania", was promoted by Hall Of Fame Promotions. WBF President Howard Goldberg was in attendance to supervise and award the winners their belts, and former World Heavyweight Champion Francois Botha was at ringside doing TV commentary.

source: WBF- |- World Boxing Federation

Muache kuandika habari za kiongo, kuuza magazeti yenu, ndio maana tumeacha kuyasoma..
 
Kuchasoni kuchawangu acha kukurupuka,ina maana hata yule rais wa IBF Africa aliyeshiriki kumvisha mkanda pale ukumbini haujui mkanda halisi?acha ushabiki wa kitumwa,heshima tuliyopata kama nchi ni kubwa,tumpongeze cheka kwa ushindi ule kwani hata Francois Botha amempongeza sembuse cc watanzania wenzake,tuwe wazalendo.HONGERA CHEKA na kwenye ngumi cc sio kichwa cha mwendawazimu labda michezo mingine.
 
Nimeicopy kama ilivyo, songa nayo:-
HIVI TANZANIA BILA “USANII” HAIWEZEKANI..?
Kweli sikio la kufa halisikii dawa labda ndio maana Rais Mwinyi alipoona hatufanikiwi kwenye mchezo wa soka alisema "Tanzania nikichwa cha mwenda wazimu"
Leo gazeti la FAHAMU limeandika "CHEKA APEWA MKANDA FEKI"
• Mkanda alioutwaa hautambuliki popote duniani
• Bondia aliyepigana nae hajawahi kutwaa taji lolote duniani
• Makanda wa Super midleweight aliokabidhiwa Cheka unashikiliwa na bondia wa Australia Sakio Bika na sio Phil Williams kama ilivyodaiwa.
UCHUNGUZI
Baada ya kusoma habari hiyo nikaamua kudadisi kwa kufuatilia kwenye mitandao mbalimbali ya habari duniani ikiwa ni pamoja na ENEWS, AFP, GOOGLE SEARCH, WIKIPEDIA etc.
FINDINGS (Niliyoyagunduani haya):
• Ni kweli Mkanda wa Super midleweight aliokabidhiwa Cheka unashikiliwa na bondia wa Australia Sakio Bika tangu mwaka 2008. Mwaka jana 2012 alitetea taji lake (la Super middle weight champion) kwa kumpiga Nikola Sjekloca.
• Bondia aliyepigana na Cheka (Phil Williams) ni bondia lakini hakutambulika na Mashirikisho Rasmi ya ndondi duniani kama WBA, WBF,IBF etc .
• Amewahi kucheza ndondi lakini hajatwaa ubingwa wowote wa dunia, anatambulika na chama cha ndoni jimboni kwao Minnesota Boxing Association.
Amekuwa akicheza mapambano madogomadogo na kabla ya kuja Tanzania alicheza na Charles Goodwin katika ukumbi wa Seven Clans Casino. (Immagine mtu anayecheza kwenye viCassino analetwa Tanzania kama bondia maarufu).
• Kazi rasmi ya Phill Williams anayoifanya na inayomtambulisha ni KINYOZI (Barber). Anamiliki saluni yake huko Minneapolis Marekani ambapo anajishughulisha na kunyoa nwele, kusuka, kukata kucha, kupaka rangi etc. Soma zaidi hapa http:// en.wikipedia.org /wiki/ Phil_Williams_(b oxer).
MY TAKE..!!
Walioandaa pambano la Cheka na Phil Williams walituambia kuwa ni bingwa wa dunia wa uzito wa kati (Super Middle Weight Champion). Waandishi wa habari nao wakadakia na kumpa uzito mkubwa Williams bila kufanya uchunguzi, kumbe kinyozi.
Hapa niwalaumu kidogo waandishi wenzangu wa Habari. Magazeti, Radio, TV, Blogs vyote vilipambwa na habari ya Cheka kuwa atapigana na Bingwa wa Middle weightduniani. Je hakuna hata mmoja aliyeweza kuchunguza na kubaini ukweli kabla bondia wetu Cheka hajapigana na huyo "mkata kucha" wa Minneapolis..?
Niwapongeze waandishi wa gazeti la FAHAMUkwa kuibua hili lakini ingekuwa vema kama ingegundulika mapema zaidi ili pambano hilo lifutwe. Tumejidhalilisha kumruhusu bondia makini kama Cheka kupigana na Kinyozi. Hivi Cheka angemuulia jukwaani tungewaeleza nini vinyozi wenzie wa Minneapolis..??
Lakini kwanini Watanzania tufanywe wajinga kwa kuletewa kinyozi na kuambiwa ni bondiatena anayeshikilia mkanda wa dunia wa uzitowa juu duniani..??Nanialithubutu kufanya udanganyifu mkubwa hivi bila kuogopa? Promota wa pambano hili Jay Msangi amewezaje kuidanganya hadi serikali bila woga na kufikia hata kumualika waziri wa Habari Dkt. Fenella Mukangara?
Tena nasikia alialikwa Rais Kikwete lakini kutokana na majukumu akamuagiza Dk.Mukangara amuwakilishe. Hii ina maana kuwa hata Rais Kikwete alidanganywa? Je huyu Promota Msangi ndio mwenye ujasiri wa kumdanganya hadi Rais au kuna watu nyuma yake? Na kama Rais Kikwete amedanganywa katika hili la kuletewa kinyozina kuambiwa ni bondia, je Rais wetu ameshadanganywamangapi?
Na kama Rais anadanganywa, usalama wa taifa hili uko wapi? Hawa wanaomdanganya si wanaweza kutake advantage hiyo na kuihujumu nchi yetu? Usalama wa Taifa wanafanya kazi gani? Hivi hata katika hili la kuletewa Kinyozi na kudanganywa ni bondia, usalama wa taifa hawakuliona? Au wamecocentrate kwenye “kung’oa watu kucha na meno” na kusahau mambo yanayohatarishausalama wan chi??
Na ikiwa tunafanya usanii hadi kwenye mambo serious hivi na kuwadanganya Watanzania wote tutegemee maendeleao kwenye sekta ya michezo nchini?
Shirikisho la ndondi Duniani WBC na IBO wanamtambua Sakio Bika (wa Australia) kuwa Bingwa wa uzito wa kati duniani, je saivi wakiambiwa kuna bondia Tanzania anaitwa Cheka nae anashikilia taji hilo haitatucost? Wanaweza kuifungia Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa kwa kufanya uhuni.
Hivi kwanini usanii umekuwa ndio sifa ya watanzania? Nashauri promota aliyeandaa pambano lile Jay Msangi akamatwe na kushitakiwa kwa uhuni huu. Ashtakiwe kwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, ashatakiwe kwa kumdanganya Rais, na kwa kuhatarisha maisha ya kinyozi wa Marekani.
HIVI TANZANIA BILA USANII HAIWEZEKANI..??

kama habari hizi ni za kweli ushiriki wa bondia mwenye jina kubwa kama Botha katika maandalizi ya pambano hilo nao ukoje au na yeye amefulia kiasi cha kuwa ni tapeli duniani hapa
 
You are still living in Stone Age. As far as Cheka´s story is concerned, it is credible. Otherwise, you have all the rights to deny and denigrate yourself (a reflection of chronic and incurable inferiority complex). Wake up from that slumber. You still have time!
.................He who does not sense the meaning, is not told it.
 
Ukweli ni kwamba wengi wetu ufuatiliaji mdogo.

Jana nimeona habari za ki "The Onion" zimeletwa kwamba Putin anataka kupiga mabomu Saudi Arania na Qatar, watu wanazimeza nzimanzima bila hata kumung'unya kwa kuuliza credibility ya source.

Unaweza kuleta upuuzi wowote kutoka ki site chochote cha satire na watu wakachukulia habari kama serious, no matter how strange. Hakuma hata wa kuuliza.

Nafirahi kuona kuna baadhi yetu wanauliza.
 
Pole sana mleta mada sababu hujui ulichoandika. Lazima ujifunze kutofautisha kati ya WBC, WBF, WBO, WBU etc.
Francis Cheka ni Bingwa SuperMiddle Weight wa WBF na Sakio Bika ni bingwa Supermiddle weight wa WBC. Usiandike kitu bila kufanya utafiti ni aibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom