Ahsanteni Wazanzibari kwa ukomavu mliouonesha

Kati ya watu wajinga dunia hii Watz wanaongoza.Mfano wapinzani ndo wametufanya tujue utendaji mbovu wa serikali lakini hayo hatuyaoni ndo maana tunasifu hata ujinga kisa vyama vyetu vya siasa wakati mijizi imejificha humo na hata vyama vya siasa ndo chanzo cha uchafu wote unaofanyika ktk nchi hii
 
Serikali ya pamoja ndiyo basi tena na yale mambo ya kutupiana kinyesi visimani yanarudi kama mwanza?
 
Ukiangalia sura Mnafiki huonekana wazi wazi, eti anasubiri kupiga kura aibu imemjaa kama sura inavyojionyesha

IMG-20160320-WA0030.jpg
 
HATUJUTI NA HATUTAJUTA. Hii sio mara ya kwanza CUF kuchukua hatua kama hii na kila siku kinazidi kuimarika si Zanzibar tu lakini mpaka nje ya mipaka yetu. Amani kwetu ndio mila yetu na wala usimsifu Amiri mkuu kwa kusaidia kukandamiza matakwa ya wazanzibari waliowengi walioyafanya oktoba 25.
Uchaguzi wa Oktoba ulikuwa tulivu ,salama na wa haki kulioko wa jana. Tatizo la Zanzibar liko kwa watawala wetu Tanganyika ambao jana walijazana Zanzibar utafikiri kumevumbuliwa gesi
 
Kiukweli kabisa na kwa dhati ya moyo wangu, natoa pongezi za dhati kwa Wazanzibari wote. Kwanza wametimiza haki yao ya kikatiba katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika jana. Uchaguzi umefanyika kwa njia ya amani na mpaka sasa utulivu unatamalaki.

Pili natoa pongezi kwa Amir Jeshi Mkuu kwa kuviweka sawa vyombo vya Ulinzi na Usalama ili uchaguzi huo ufanyike kwa amani. Hakika Amir Jeshi Mkuu umetimiza ahadi yako ya kuhakikisha kuwa uchaguzi huo unafanyika kwa njia ya amani na Utulivu.

Kumalizika kwa uchaguzi huu ni kwanzo wa uchaguzi wa 2020. Niwape tu pole wale waliodanganywa na wakadanganyika na sasa wanajuta kwa maamuzi waliyochukua. Ndo hivyo tena. Maji yamemwagika kwenye mchanga. Hakuna jeuri ya kuyazoa tena. Tujipange kwa ajili ya 2020 vinginevyo Bye Bye kwenye ulimwengu wa siasa Tanzania.
Nyie kwa akili zenu zilivyokuwa nusu mnawaza kutawala kuliko wananchi wapate maendeleo, ebu tafakari kwa makini hicho unachokishabikia je umeishawahi kuona nchi yeyote inapata maendeleo pasipo wananchi wake kuwa na ridhaa na serikali iliyopo na kutoa ushirikano wa kutosha kwa viongozi waliopo? kitakachotokea Zanzibar ni wazi CCM mmejitwisha gunia la msumari kwani kila kitu mtaachiwa nyie na hao wananchi ambao wamegomea uchaguzi huo watagomea kila kitu na hawatakuwa tayari kushiriki chochote hususani kitakachopangwa na hao viongozi waliojichagua.
 
Ni rahisi sana kuandika haya uliyoandika, lakin mmevipa vyombo vya ulinzi kazi kubwa sana kwa vile hamjui tu. Amani ya nchi zao la mambo mengi sana ikiwemo mahakama zinazotoa haki, dini zinazofundisha watu uwepo wa Mungu nk. Hakuna kitu binadamu yoyote anaogopa kama kupambana na adui usiyemjua sababu hujui anafikiri nin na wakat gani atakudhuru.I cen feel machungu waliyonayo CUF, hebu watulize vichwa, haya mambo yameamuliwa ma watu wachache, watz wengi hawajafurahishwa na hii hali, mapigo yoyote watakayojibu, hebu wadeal na maadui zao zaidi.
 
Naona Kibaka mzoefu wa kura alikwenda na huko sasa sijui alikwenda kumuibia nani.

img-20160320-wa0029-jpg.331074
 
Back
Top Bottom