Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,412
- 7,321
Maongezi ya hawara na buzi lake yalikuwa hivi:-
BUZI: mpenzi wangu tangu nimekununulia nyumba na gari naona mapenzi yamepungua!
HAWARA: kwanini mpenzi?
BUZI: siku hizi huniambii asante kwa chochote tofauti na zamani
HAWARA: asante nisimpe mganga nikupe wewe na ubakhili wako. Nisingekuroga ungenipa lini nyumba na gari?
BUZI: na mimi nisingekuhonga hivyo vitu ningekuambukiza UKIMWI saa ngapi?
Hawara hoi,
Hapo nani mjanja?