AHMED ALLY SHULE UKAFUTE UJINGA

Kitimoto

JF-Expert Member
Aug 25, 2012
5,361
5,152
AHMED ALLY RUDI SHULE UKAFUTE UJINGA

Anasema wamebakiza mechi 3 wakati bado mechi 4.

Ligi yetu timu ziko 16, inamaana kila timu inatakiwa icheze jumla ya mechi 30. Ukiangalia kwenye msimamo wa ligi Simba ameshacheza mechi 26, inamaana amebakiza mechi 4 na sio 3 kama anavyosema msemaji wa Simba Ahmed Ally.



Screenshot_20240512_230105_FotMob.jpg


Screenshot_20240512_230242_FotMob.jpg
 
Ukiangalia huo msimamo na goal difference yanga tunahitaji drop tu, sijui kesho tumuonee huruma mtibwa?
 
Msamehe bure itakuwa ulimi uliteleza ukichanganya na matokeo yasiyo rafiki basi labda shida ndio ilianzia hapo.

Kwa kifupi sasa hivi usemaji kwenye timu za mpira umegeuka kuwa "ucomedian" fulani hivi. Na mbaya zaidi hawa jamaa hata hawawekewi mipaka na viongozi wao kiasi wanazungumza chochote hata yale ya kutolewa na viongozi au benchi la ufundi wao wanaropoka tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom