Agness Gerald (Masogange) afikishwa Mahakamani Kisutu, Apata dhamana

Daudi alikuwa anatupa mawe kwenye Nyumba ya vioo,kumbe,bila kujua, ndani ya Nyumba hiyo anaishi Asali wa moyo

Sasa amekosa mchepuko wa kumliwaza

Nadhani yule wa ndoa sasa atakuwa anakimbiza jogoo aliyenona ili achinje,Mwenyezi mungu "kam-fix" mwizi wake
 
Mrembo anayepamba video za wanamuziki, Agness Gerald, maarufu kwa jina la Masogange na wafanyakazi 14 wa kampuni ya Quality Group wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu wakisubiri kusomewa mashitaka.


Masogange ambaye alikamatwa wiki iliyopita kwa tuhuma za kujihusisha na madawa ya kulevya amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano asubuhi akiambatana na wafanyakazi wa Quality Group.

Wafanyakazi hao wa Quality Group wanadaiwa kufanya kazi nchini bila kuwa na vibali baada ya kukamatwa na Ofisa Uhamiaji wa Mkoa wa Dar es Salaam, John Msumule.

Chanzo: Mwananchi
masogange ana kosa lipi kubwia ama kuuza unga?
 
Hakimu!!! kazi yako zingatia macho hayana pazia utakuja kujutia
Hata bila ya kujitetea utamuona hana hatia
 
Masogange mwaga mbona maana Albert amemwaga ugali.......maliza kazi upate pa kujishika!!!
 
Back
Top Bottom