Tuna mijitu humu haitumii akili kabisa yanaegemea au kutegemea akili za kuambiwa,
Suruhisho sio kuondoa watumishi kabla hujawapatia sehemu ya kukaa (ofisi). Ni vyema wakatenga fedha ili wajenge wodi kubwa ya wazazi. Miundo mbinu ya jengo hilo si rafiki kwa wazazi.
Wodi za wazazi zinatakiwa zijengwe kama ilivyo kwenye miongozo ya wizara na sio vinginevyo.
Maamuzi au maagizo yasiyozingatia taaluma yataleta shida huko mbeleni