Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Tena kipigo cha mbwa koko! Huyu jamaa tapeli mno. Eti anasema bei ni ya jumla mara eti hata ukiagizia pisi moja halafu kibaya kabisa simu zipo Dubai. Yaani huyu jamaa tapeli. Moderator wafute huu uzi
Siwez kukukatalia matapeli wapo..

Ila mimi hapa jamnii forums nina mwaka wa 9 huu since 26-09-2014
Nauza na kununua bidhaa hapa hapa
Nimepata fursa ya kufika dubai sasa nimeona niwashirikishe..

SIWEZI KUKUPINGA UTAPELI UPOO
 
Tumia utaratibu utakaomhakikishia mteja usalama wa pesa yake!! Usitegemee mtu na akili yake akatuma pesa kwa mtu bila security yoyote kwa pesa yake!
 
Siwez kukukatalia matapeli wapo..

Ila mimi hapa jamnii forums nina mwaka wa 9 huu since 26-09-2014
Nauza na kununua bidhaa hapa hapa
Nimepata fursa ya kufika dubai sasa nimeona niwashirikishe..

SIWEZI KUKUPINGA UTAPELI UPOO
Kama unajua kuwa utapeli upo je wewe unajitofautishaje na hao matapeli? au watu watakutofautisha vipi na hao matapeli? Kuna mtu anaweza kudai yuko Dubai kumbe ni Dubai ya "kwa Azizi Ally" au "kwa mtogole"!! Hii bongo ina mambo mengi sana!! Lazima uweke guarantee fulani kulinda pesa ya watu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom