Afrika tutafika lini uwezo huu? Makombora yote hayo ya Iran yamefaulu kumjeruhi binti mmoja tu!

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,238
50,411
Hivi mamia ya makombora, mizinga na drone zingeelekezwa kwa nchi ya Kiafrika, je kuna yenye uwezo wa kudungua kama ilivyofanya Israel?

Yaani Iran imetumia nguvu zote hizo na kufanikiwa kumjeruhi binti mmoja tu, sasa hivi Israel watu wamerudia hali ya kawaida kama kwamba hamna chochote kilichotendeka.

Tusklizie upande wa pili kama Iran na wao wana uwezo wa kudungua kinachowajia.

=================
1713091857130.png

Sirens blared across Israel on Saturday night as hundreds of drones and missiles launched from Iran reached Israel. Drones and missiles were also reportedly launched from Yemen and other countries around the region.

A seven-year-old girl from a Bedouin village near Arad was seriously wounded by the Iranian attack, according to Magen David Adom. Dr. Dan Schwartzfox, the deputy director of Soroka Medical Center, told Army Radio on Sunday morning that the girl was in intensive care and that her life was still at risk. Minor damage was caused to infrastructure at an IDF base in southern Israel during the attack as well, according to IDF Spokesperson Daniel Hagari.

The IDF has updated that the full Iranian attack consisted of over 300 threats, of which 100 were ballistic missiles launched from Iran. Another 30 cruise missiles were launched from the Islamic Republic, along with drones. There were also two rounds of rockets, around 40 total, fired on Israel from Lebanon, with Israel responding with counterattacks in close to real-time.

None of the drones or cruise missiles entered Israeli airspace. IDF spokesperson Rear Admiral Daniel Hagari noted that only a small number of ballistic missiles penetrated the Jewish state's airspace.

Almost all interceptions have been by aircraft, David's Sling, or the Arrow missile systems. The Iron Dome, which defends well against Hamas and Hezbollah's simple rockets, is less relevant for drones and fancier long-range missiles.

JSpot
 
Iron Dome system imefanikiwa kufanya interceptions nyingi dhidi ya missile na drones.
At least 90% ya hizo drones na cruise missiles zimezuiliwa na US,UK,France na Jordan....10% ndo zimefika Israel na kati ya hizo 10% only 09% Israel ndo in mefanikiwa kuzuia uku 01% ziki hit intended targets.... Assume US,UK,France na Jordan wasingezuia unafikiri damage ingekuaje?? Apa lazima tutambue hii Vita sio ya Iran na Israel ni Iran V/s US/Israel/UK/Germany/France na wengineo....Israel anatumia vivuli vya hao tu kujilinda... Saivi CNN news PM Netanyahu anamshukuru US na allies wake kwa kuweza kuinda dhidi ya mashambulizi ya Iran....Vipi GPS Jamming hazikufua dafu dhid ya IRan maana karibia yote yalikua yanafika vizuri tu
 
Iron Dome system imefanikiwa kufanya interceptions nyingi dhidi ya missile na drones.
At least 90% ya hizo drones na cruise missiles zimezuiliwa na US,UK,France na Jordan....10% ndo zimefika Israel na kati ya hizo 10% only 09% Israel ndo in mefanikiwa kuzuia uku 01% ziki hit intended targets.... Assume US,UK,France na Jordan wasingezuia unafikiri damage ingekuaje?? Apa lazima tutambue hii Vita sio ya Iran na Israel ni Iran V/s US/Israel/UK/Germany/France na wengineo....Israel anatumia vivuli vya hao tu kujilinda... Saivi CNN news PM Netanyahu anamshukuru US na allies wake kwa kuweza kuinda dhidi ya mashambulizi ya Iran....Vipi GPS Jamming hazikufua dafu dhid ya IRan maana karibia yote yalikua yanafika
 
Hayo mataifa ya Israel., USA, France, England yalishajiandaa kwa ajili ya kukabiliana na tukio husika.. vipi kama drone zote hizo zingedondoshwwa bila taarifa sijui ingekuwaje... then watu walishaarifiwa wengi walifichwa kwenye mahandaki, na pia lengo la Iran ilikuwa sio kwa kuua raia pekee lakn pia ilikuwa inafikisha ujumbe wa kujibu mashumbulizi ya Israel. japo Marekani alitoa vitisho lakn bado Iran kafanya vile alivyo panga kufanya..kwa taarifa yako hizo drone za Iran zinaogopwa sana na nchi za magharibi kwa sababu hazina gharama kubwa tofauti na defencing system wanazotumia kuzizuia... hapo Iran karusha mia mbili kwa siku.. kuna siku atakuja kurusha elfu kumi kwa mkupuo ndo mtakuja ona matokeo yake....
 
Hivi mamia ya makombora, mizinga na drone zingeelekezwa kwa nchi ya Kiafrika, je kuna yenye uwezo wa kudungua kama ilivyofanya Israel?
Yaani Iran imetumia nguvu zote hizo na kufanikiwa kumjeruhi binti mmoja tu, sasa hivi Israel watu wamerudia hali ya kawaida kama kwamba hamna chochote kilichotendeka.
Tusklizie upande wa pili kama Iran na wao wana uwezo wa kudungua kinachowajia.
=================

The IDF has updated that the full Iranian attack consisted of over 300 threats, of which 100 were ballistic missiles launched from Iran and another 30 cruise missiles launched from Iran, as well as drones. There were also two rounds of rockets, around 40 total, fired on Israel from Lebanon, with Israel responding with counterattacks in close to real-time.
Still, the IDF said that, to date, the defense was historically effective.
Naona unajipa moyo,wale machoko hawana lolote bila mabwana zao USA, France na UK
 
The Iran's cowardly attack on Israel has caused no significant damage and the Israeli government has vowed "unprecedented retaliation to Iran's action."
 
At least 90% ya hizo drones na cruise missiles zimezuiliwa na US,UK,France na Jordan....10% ndo zimefika Israel na kati ya hizo 10% only 09% Israel ndo in mefanikiwa kuzuia uku 01% ziki hit intended targets.... Assume US,UK,France na Jordan wasingezuia unafikiri damage ingekuaje?? Apa lazima tutambue hii Vita sio ya Iran na Israel ni Iran V/s US/Israel/UK/Germany/France na wengineo....Israel anatumia vivuli vya hao tu kujilinda... Saivi CNN news PM Netanyahu anamshukuru US na allies wake kwa kuweza kuinda dhidi ya mashambulizi ya Iran....Vipi GPS Jamming hazikufua dafu dhid ya IRan maana karibia yote yalikua yanafika vizuri tu
Hizi nchi zikiungana kumpiga Iran ndani ya wiki vita itakuwa imeisha. Ili kubalance hii habari pia taja nchi ambazo zimeungana na Iran kuishambulia Israel
 
Assume pia russia, north korea na china asingeipatia teknolojia iran ingefika hapo ilipo?
 
Mjomba unajitahidi kuitafuta visa na uraia wa Marekani siyo mchezo.
Unategemea kusikia taarifa sahihi za mafanikio ya tukio hilo?
War propaganda...
BWT, nimefurahi kusikia waliojeruhiwa ni wachache. Kila roho ya binadamu mmoja bila kujali ni myahudi, muajemi au mpalestina ni muhimu kuliko majivuno ya binadamu.
 
Yaani Iran imetumia nguvu zote hizo na kufanikiwa kumjeruhi binti mmoja tu,
Kweli u-gaidi...!! Ndiyo maana unashabikia Israel na Ukraine kuua raia wa kawaida na watoto.

Kwa taarifa yako Iran wanatumia akili, hawatumii mihemko! Pia kwa namna fulani wanautu Hata wafanyiwapo hiyana! Malengo ya Iran Ilikuwa kupiga Kambi za Kijeshi ndani ya Israel. Kwa taarifa za uhakika lengo la Iran limetimia.
 
Hizi ni propaganda. Uwanja uliotumika kushambulia ubalozi wa Iran umeharibiwa kabisa hautumiki. Hizi ni propaganda lengo lake ni kukwepa kujibu mashambulizi.

Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia target za kijeshi bila kuathiri wananchi.
 
Hizi nchi zikiungana kumpiga Iran ndani ya wiki vita itakuwa imeisha. Ili kubalance hii habari pia taja nchi ambazo zimeungana na Iran kuishambulia Israel
ttzo ni China na Urusi , siku China akijichanganya kwa Taiwan bas huku Iran ajipange kwa kuwaface ulaya nzima
 
Hizi ni propaganda. Uwanja uliotumika kushambulia ubalozi wa Iran umeharibiwa kabisa hautumiki. Hizi ni propaganda lengo lake ni kukwepa kujibu mashambulizi.

Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia target za kijeshi bila kuathiri wananchi.
hao Hizbollah na Houth hawaui raia ? wanapolipua meli na miji ?
 
Back
Top Bottom