Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Heri ya nusu shari kuliko shari kamili.

Kama una app ya Livescore fuatilia hapo vinginevyo fuata link hii:

m.livescore.com/
ila nasikia channel ya angola (Tpa) inaonesha, sijui hiyo channel inapatikana king'amuzi gani
 
Heri ya nusu shari kuliko shari kamili.

Kama una app ya Livescore fuatilia hapo vinginevyo fuata link hii:

m.livescore.com/
Ahsante mkuu, sasa huku kwetu na umeme leo hakuna, na hizi Smartphone kwa chaji ni majanga duh, ila tutawapiga hivyo hivyo tu manina.
 
1463581203024.jpg
 
Tayari Kamusoko kishalambwa kadi na Dida pia kuumizwa kwa kupigwa kichwa akiokoa hatari golini.
 
Aaah sasa hii tv mbona ina scratch hivi? vipi wenzangu inaonesha poa?
 
Back
Top Bottom