peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,866
- 24,670
Habari za leo ndugu viongozi wa elimi Mkoa wa Kilimanjaro?
Siku ya jana viongozi wa Maafisa elimu Kata Mkoa(wenyeviti wa Halmashauri zote na Mkoa) tumepokea maelekezo kutoka kwa REO kutuomba support yetu kwa ajili michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA.
1. Kuchangia 100,000 kwa @ afisaelimu Kata.
2. Mwisho wa kuchanga fedha hio iwe tarehe 30/4/2025
3. Fedha itakayopatikana watateuliwa afisaelimu Kata 2 mmoja atashiriki UMITASHUMTA na mwingine UMISETA.
4. REO Atakabidhiwa vyakula na vifaa vyenye thamani ya fedha siku ya pili baada Kambi ya Mkoa kuanza.
5. Siku hiyo ya kukabidhi vifaa vya UMITASHUMTA na UMISETA pamoja na Wajumbe watakaochaguliwa kukabidhi kutoka kila (W) Wenyeviti na makatibu wa Wilaya watatakiwa kushiriki KIKAO na REO baada ya makabidhiano.
Naomba kuwasilisha