DOKEZO Afisa Elimu Mkoa wa Kilimanjaro: Michango ya michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA mkoa wa Kilimanjaro, kila Mwalimu kuchangia Tsh 100,000

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
14,869
24,670
Habari za leo ndugu viongozi wa elimi Mkoa wa Kilimanjaro?

Siku ya jana viongozi wa Maafisa elimu Kata Mkoa(wenyeviti wa Halmashauri zote na Mkoa) tumepokea maelekezo kutoka kwa REO kutuomba support yetu kwa ajili michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA.

1. Kuchangia 100,000 kwa @ afisaelimu Kata.
2. Mwisho wa kuchanga fedha hio iwe tarehe 30/4/2025
3. Fedha itakayopatikana watateuliwa afisaelimu Kata 2 mmoja atashiriki UMITASHUMTA na mwingine UMISETA.
4. REO Atakabidhiwa vyakula na vifaa vyenye thamani ya fedha siku ya pili baada Kambi ya Mkoa kuanza.
5. Siku hiyo ya kukabidhi vifaa vya UMITASHUMTA na UMISETA pamoja na Wajumbe watakaochaguliwa kukabidhi kutoka kila (W) Wenyeviti na makatibu wa Wilaya watatakiwa kushiriki KIKAO na REO baada ya makabidhiano.
Naomba kuwasilisha
 
Siku ya jana viongozi wa Maafisaelimu Kata Mkoa(wenyeviti wa Halmashauri zote na Mkoa) tumepokea maelekezo kutoka kwa REO kutuomba support yetu kwa ajili michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA.

Mwalimu,
wewe unafundisha shule ya msingi ipi hapo kilimanjaro? samahani lakini :NoGodNo:
 
CWT inafanya nini kutetea waalimu wake? Huu ni uporaji mchana kweupe. Waalimu mtaendelea kunyanyaswa hadi lini? Mama Samia kama unasoma hapa ninakusihi mno tumbua huyo afisa elimu fisadi.
 
Ni mchango au tozo? Aisee afadhali sikuoa Mwalimu, ni kama wanamilikiwa na serikali, kwenye mikutano ya ccm lazima! Michango lazima, why?
Hahaha na hao ndio Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni mwendo wa Maelekezo ya kuiba kura tu
 
Habari za leo ndugu viongozi wa elimi Mkoa wa Kilimanjaro?
Siku ya jana viongozi wa Maafisaelimu Kata Mkoa(wenyeviti wa Halmashauri zote na Mkoa) tumepokea maelekezo kutoka kwa REO kutuomba support yetu kwa ajili michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA.
1. Kuchangia 100,000 kwa @ afisaelimu Kata.
2. Mwisho wa kuchanga fedha hio iwe tarehe 30/4/2025
3. Fedha itakayopatikana watateuliwa afisaelimu Kata 2 mmoja atashiriki UMITASHUMTA na mwingine UMISETA.
4. REO Atakabidhiwa vyakula na vifaa vyenye thamani ya fedha siku ya pili baada Kambi ya Mkoa kuanza.
5. Siku hiyo ya kukabidhi vifaa vya UMITASHUMTA na UMISETA pamoja na Wajumbe watakaochaguliwa kukabidhi kutoka kila (W) Wenyeviti na makatibu wa Wilaya watatakiwa kushiriki KIKAO na REO baada ya makabidhiano.
Naomba kuwasilisha
Hiki kisiwa hiki. Kimejaa vichaa
 
CWT inafanya nini kutetea waalimu wake? Huu ni uporaji mchana kweupe. Waalimu mtaendelea kunyanyaswa hadi lini? Mama Samia kama unasoma hapa ninakusihi mno tumbua huyo afisa elimu fisadi.
Wanakula michango tu. Vyama vya wafanyakazi vimegeuka vyuo vya ufisadi siku hizi.
 
Habari za leo ndugu viongozi wa elimi Mkoa wa Kilimanjaro?
Siku ya jana viongozi wa Maafisaelimu Kata Mkoa(wenyeviti wa Halmashauri zote na Mkoa) tumepokea maelekezo kutoka kwa REO kutuomba support yetu kwa ajili michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA.
1. Kuchangia 100,000 kwa @ afisaelimu Kata.
2. Mwisho wa kuchanga fedha hio iwe tarehe 30/4/2025
3. Fedha itakayopatikana watateuliwa afisaelimu Kata 2 mmoja atashiriki UMITASHUMTA na mwingine UMISETA.
4. REO Atakabidhiwa vyakula na vifaa vyenye thamani ya fedha siku ya pili baada Kambi ya Mkoa kuanza.
5. Siku hiyo ya kukabidhi vifaa vya UMITASHUMTA na UMISETA pamoja na Wajumbe watakaochaguliwa kukabidhi kutoka kila (W) Wenyeviti na makatibu wa Wilaya watatakiwa kushiriki KIKAO na REO baada ya makabidhiano.
Naomba kuwasilisha
Si wamuombe mama anagawa pesa kila mechi mbona
 
Habari za leo ndugu viongozi wa elimi Mkoa wa Kilimanjaro?

Siku ya jana viongozi wa Maafisa elimu Kata Mkoa(wenyeviti wa Halmashauri zote na Mkoa) tumepokea maelekezo kutoka kwa REO kutuomba support yetu kwa ajili michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA.
1. Kuchangia 100,000 kwa @ afisaelimu Kata.
2. Mwisho wa kuchanga fedha hio iwe tarehe 30/4/2025
3. Fedha itakayopatikana watateuliwa afisaelimu Kata 2 mmoja atashiriki UMITASHUMTA na mwingine UMISETA.
4. REO Atakabidhiwa vyakula na vifaa vyenye thamani ya fedha siku ya pili baada Kambi ya Mkoa kuanza.
5. Siku hiyo ya kukabidhi vifaa vya UMITASHUMTA na UMISETA pamoja na Wajumbe watakaochaguliwa kukabidhi kutoka kila (W) Wenyeviti na makatibu wa Wilaya watatakiwa kushiriki KIKAO na REO baada ya makabidhiano.
Naomba kuwasilisha
Mbona kiasi ni kidogo sana? Samia ananunua goli moja milioni ishirini halafu hawa wanaambiwa laki tu.
 
Habari za leo ndugu viongozi wa elimi Mkoa wa Kilimanjaro?

Siku ya jana viongozi wa Maafisa elimu Kata Mkoa(wenyeviti wa Halmashauri zote na Mkoa) tumepokea maelekezo kutoka kwa REO kutuomba support yetu kwa ajili michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA.
1. Kuchangia 100,000 kwa @ afisaelimu Kata.
2. Mwisho wa kuchanga fedha hio iwe tarehe 30/4/2025
3. Fedha itakayopatikana watateuliwa afisaelimu Kata 2 mmoja atashiriki UMITASHUMTA na mwingine UMISETA.
4. REO Atakabidhiwa vyakula na vifaa vyenye thamani ya fedha siku ya pili baada Kambi ya Mkoa kuanza.
5. Siku hiyo ya kukabidhi vifaa vya UMITASHUMTA na UMISETA pamoja na Wajumbe watakaochaguliwa kukabidhi kutoka kila (W) Wenyeviti na makatibu wa Wilaya watatakiwa kushiriki KIKAO na REO baada ya makabidhiano.
Naomba kuwasilisha
Yaani ni Kila mwalimu achangie hiyo 100,000/= kwa afisa elimu maanake Kama shule Ina waalimu kumi basi wakabidhi 1m kwa afisa elimu? How comes hii inakuwaje...? By then Kila shule si huwa zinachangia hayo mashindano?
Huu ni upigaji mwingine....!!!!
 
Back
Top Bottom