mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Ni kweli mdau, ila lengo la serikali ni kuzipunguza kampuni za clearing and forwarding kwa kuziwekea VAT kwa huduma wanazotoa ili badae zibaki chache ambazo serikali itaweza kuzisimamia vizuri ili kupunguza ukwepaji kodi bandarini.haya bwana mkuu nimekubali. Usisahau kwamba huu uelewa wako ndio wengi wanautegemea katika kujenga Tanzania ya viwanda!
Nakukumbusha tu kuwa makampuni mengi yaliyotuhumiwa na serikali hii hii ya JPM kukwepa kodi na kuiba makontena bandarini hakukuwa hata na kampuni moja ndogo.
Kampuni za clearing and forwarding ni nyingi mno na kuna baadhi ya watu wanamiliki kampuni zaidi ya tatu hadi tano, na hizo zingine hao watu wanatumia maalum kwa kukwepa kodi tu.