Afisa Ugavi Wilaya ya Babati, Emmanuel Salehe apata ajali ya gari na kufariki

Mtoa taarifa ni mpumbavu sana.unawapa watu wengine hofu.DC wa babati ni Raymond Mushi.napicha uliyoweka hapo siyo Mushi.achakupotosha watu
 
Kumbe alikuwa anamiliki Range. Cheo chenyewe 2M kwa mwezi na ukute kaacha kufanya kaz zake zinazomuingizia kipato na kuendeleza dunia!
 
Jamani hiyo picha ni mtu aliyefariki kwenye hiyo ajali lakini sio DC ni mtumishi wa halmashauri ya Wilaya Babati kitengo cha ugavi
 
Back
Top Bottom