Naimani sasa watu wanaanza kujua nini maana ya yale maneno ya ulimwenguZitto yuko sahihi hata Jenerali Ulimwengu alisema tumerudi miaka 50 huko nyuma kwenye kukandamizwa kwa demokrasia. Sasa vyama vya siasa zinanyima kutimiza wajibu wao basi wafute vyama vya upinzani ibaki CCM pekee yao.
Hivi siasa ni nini? Na demokrasia ni nini? Angalia usichanganye na kampeniHata kwenye nchi tunazoziita za kidemokrasia, siasa za mitaani utaziona wakati wa kampeni na uchaguzi, kipindi cha uchaguzi kinapomalizika siasa zinahamia kwenye mabaraza ya madiwani na bungeni. Inashangaza Tanzania siasa na maandano ya kila siku kuwa sehemu ya ajira kwa mwanasiasa.
JPM amevishauri vyama vya siasa kuachana na empty politiquing, na badala yake kufanya development delivering structured politics kupitia entry points za serikali za vijiji/mitaa, WDCs, halmashauri na Bunge. Huko ndiko rasilimali za nchi zinakopelekwa. Mikutano ya hadhara ni primary politics, which deliver nothing to electorate but seeking appeal when politicians are on the verge of failure, wakati structured politics concentrate on distribution policies. To my understanding, JPM is right.zitto yuko sahihi sana. hotuba ya rais imeibua utata mwingi hasa misingi ya demokrasia kwa mujibu wa katiba. vyama vya siasa vipo kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu.
Ndio maana ya demokrasia aliyoizungumzia Zitto hapa?demokrasia kwa maana ya watu kuwa na uhuru wa mawazo na kukusanyika kisiasa ni koss kubwa.Ndio maana yake.Aliyekwambia China hakuna demokrasia nani.wana demokrasia ya chama kimoja kama ulikuwa hujuwi.
Kwa maneno tu mpo vizuri BALAAA.....vitendo sasa ndio ZERO....mfano tu Suala la UFISADI lilipokuja suala la UTEKEREZAJI ikawa BALAA.......mmebaki ni watu wa MATUKIO.....yaani hiki CHAMA ndio kimeishajifiaRais aliyepatikana kwa njia za kidemokrasia anapiga marufuku mikutano ya kisiasa , amabayo ndio iliyomuungiza madarakani ! Anataka kutuaminisha kuwa
1. Aliingia madarakani kwa njia zisizo za kidemkrasia, ndio maana haoni kuwa vyama vya siasa vina haki hiyo kikatiba.kwa hiyo hawezi kuheshimu demokrasia?
2.Anahisi hana uhalali hivyo anatumia muda huu aliopiga marufuku mikutano ya siasa ya vyama vya upinzani kujihalalisha?
3.Anataka kutumia nguvu za kijeshi kujiimarisha madarakani;?
4.Anataka kutuaminisha kwamba CCM sio chama cha siasa bali ni DOLA?
Hivi kwa wanasiasa ni nini political ideology ya huyu Mkubwa wetu? Hivi anafuata kweli hata idealogy ya chama chake? "Hapa kazi "imebebwa na idealogy ipi?
Kamwe hawezi kutunyamazisha!
Mhe. Peter Msigwa
wewe endekeza tu kufuata mkombo wa zito atakuacha kwenye mataaWewe uwezo wako wa kufikiri mdogo sana huwezi kuelewa alichosema Zitto kachukue buku 7 yako lumumba huko