Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Waende mahakani kupinga matokeo.
Tumpe pole. Huo ndoo uongozi. Mbona Maalimu hajapigwa. Au yeye Alitka kuuza rangiMember of the Central Committee of the Party @IsmailJussa has been severely beaten by the Zanzibar Armed Forces and he is currently at the Police Headquarters Hospital, Ziwani Zanzibar. @usembassytz, @GermanyTanzania, @BBCPolitics.
View attachment 1615562
Kwanini isikutafune wewe? Sheria zipo duniani pote sio Tanzania tu, waswahili walisema ''Mwenye nguvu mpishe.''Nimesikia hii pia, hii laana itamtafuna Magufuli na GENGE lake milele. Mungu ni wetu sote.
Namuombea Afya njema, Mungu amsaidie uponyaji!
Siasa zisiwe chanzo cha kuumizana.
Unajuaje hajapigwa? Au wewe ni miongoni mwa wapigaji?Tumpe pole. Huo ndoo uongozi. Mbona Maalimu hajapigwa. Au yeye Alitka kuuza rangi
Sheria zipi hizo za duniani? Beberu ameshaunguruma na vibaraka wenu wameufyata mara moja. Masikini hana chaguo, unaanzaje kuleta jeuri?Kwanini isikutafune wewe? Sheria zipo duniani pote sio Tanzania tu, waswahili walisema ''Mwenye nguvu mpishe.''
Dar es salaam MpoooooooooooTuliwaonya msijaribu mtakiona cha moto mkajifanya nyie ni miamba kiko wapi sasa? Members walitoa kebehi hapa kiko wapi? Mkong'oto upo pale pale.
Hujui unaloongea. Hakuna nchi yoyote sio USA wala pimbi yoyote atakaye tubabaisha. ''Mark my words.'' Tanzania huwa hatutishiwi nyau? Unamfahamu wewe Henry Kissinger wewe? Kama humfahamu uliza wasifu wake na alikuwa lini? Msione vinaelea vimeundwa.Sheria zipi hizo za duniani? Beberu ameshaunguruma na vibaraka wenu wameufyata mara moja. Masikini hana chaguo, unaanzaje kuleta jeuri?
Mawazo yenu mtakuwa mnapambana na raia wasio na silaha miaka yote,mie nahesabu Sikh tunda lina ivaTutaulinda na kuupigania Muungano wetu adhimu. Ole wake Yoyote atakayetaka kuuchezea
Safi sana, wababaishaji lazima wachukuliwe hatua.Member of the Central Committee of the Party @IsmailJussa has been severely beaten by the Zanzibar Armed Forces and he is currently at the Police Headquarters Hospital, Ziwani Zanzibar. @usembassytz, @GermanyTanzania, @BBCPolitics.
View attachment 1615562
Kina Zitto bwana, wamepanga kumpiga wenyewe ili watafute kikii leo wanasingizia CCM, ndiyo maana wananchi hatujawachagua this time around.Hahaha ccm nao sasa wanatafuta sifa, si wameshashinda, kwanini wampige?!
Hahaha kapigwa na polisi wa ccm, si unawajua walivyo wajinga wakitafuta vyeo.Kina Zitto bwana, wamepanga kumpiga wenyewe ili watafute kikii leo wanasingizia CCM, ndiyo maana wananchi hatujawachagua this time around.
Dua za kuku.Nimesikia hii pia, hii laana itamtafuna Magufuli na GENGE lake milele. Mungu ni wetu sote.
Mazanzibari wanasema Mwanakulitafuta Mwakulipata, na kama kweli kafa, apumzike anakostahili, maana maamuzi yake pamoja na Maalim kuingiza watu barabarani yamegarimu watu wengine maisha pia.Member of the Central Committee of the Party @IsmailJussa has been severely beaten by the Zanzibar Armed Forces and he is currently at the Police Headquarters Hospital, Ziwani Zanzibar. @usembassytz, @GermanyTanzania, @BBCPolitics.
View attachment 1615562
Kuna kisingizio maarufu... "muungano utalindwa kwa gharama yoyote... mapinduzi daima!!" Pasi kumwaga damu za wazenji na kuwakandamiza watawala wanaamini zenjibari haitawaliki.Namuombea Afya njema, Mungu amsaidie uponyaji!
Siasa zisiwe chanzo cha kuumizana..!!
Usidanyike hivyo, watakuwa kina Zitto na wenzake waliopanga haya.Hahaha kapigwa na polisi wa ccm, si unawajua walivyo wajinga wakitafuta vyeo.
Mi ccm ndivyo ilivyo.
Kuna binadamu amabao ni wawakilishi wa shetani hawana utaifaNatoa 99.99% wewe sio mzanzibari, msiniulize kwanini
Eti mheshimiwa raisi sijui rahisi hawa jamaa wamemvunjia sana heshima JPM, na akiingia huyo rais wao majigambo ooh nimekaa Ubigijii miaka mi3 kasahau kwamba hajaishi maisha ya kawaida akiwa huko anatibiwa,aisee matusi yote kwa JPM atalipa tu,Dar es salaam Mpooooooooooo
Halafu kanafuata kale ka wimbo ka BoB One love wancheza weeeewew kakiisha
Anapanda Halima mdeee😂🤣😂🤣😂🤣 Anaanza Mweshimiwa Rais Hawa ni wananchi Wa WAKO Wa kawe wapi Tayari
Sasa Unaijiuliza Magufuli Rais Yupo Halafu kuna muhuniii anaitwa Rais hapa ndio nilijua Hawa watu hawapo serious
Na pia anajua kuwa mara hii wizi wa kura umevuka mipaka.Anajukikana yupo kinyume na muungano