Umeniwahi kidogo....like yako tayari..Umeanza vizuri lakini mwishoni umeharibu..inaonyesha kumbe na wewe ni mjinga tu..kwani open university wanasoma bure?Kuchukua masters expenses zake si zinaweza kufika hata mil 10?Wewe ulitaka kila mtu akitaka kusoma lazima akakae chuo ndio kusoma?Eti ukisoma open huwezi kuwa compitent,kwani makazini wanafanya mitihani au wanaaply born skills wakisaidiwa na logic inayotokana na elimu yako? Kwanza lazima ujue wanaoshangilia watu mishahara ishushwe wala sio wasomi wa open university,ni wale ambao hawajaenda shule kabisa..ndo wanataka 'tukose wote',jipange upya uje ulete mada yenye mashiko hapa..
Anai-manage Tanzania, au tafsiri ya manager ni ipi?
How?Huwezi kusoma open univ. ukawa Competent, trust me
Kwani Mungu ndo anapanga mishahara ya watumishi?Mungu hakupi unachotaka, anakupa unachostahili...! Hivo km we ni wa laki 5 basi ndo unachostahili
Sasa huyu mwalimu hapa anakujaje???, au ndo alelalamikia mishahara ya 40 millions???. Walio Very Competence wakienda kusoma nje hua wanaajiriwa huko. Hao wanaorud kuja Fanya kazi huku ndo ni wale ambao walikua vilaza huko. HV hawana sifa ya kulipwa 40mills.Unakuta watu wamekaa wanafurahia eti haiwezekani mtu apokee mil.40 halafu mwalimu laki tatu , ukimuuliza huyo mtumishi ametumia gharama gani kupata taaluma yake utakuta kalipa ada mil. Moja na laki tano kwa mwaka mwenzako unayemlalamikia kalipa ada mil.
Hamsini kwa mwaka tena kasoma oxford, havard nk. Vyuo vinavyotambulika ulimwenguni , Popote anaajirika ulimwenguni. Ukimpa organization aiendeshe inakuwa efficiently and effectively. Mtu unamkuta kasoma open univers. Kutwa anasoma past paper hiyo competence ataitoa wapi .
Acheni wivu.
Kweli mkuu, tena alipwe hio pesa kwa ufanisi upi. Kwanza kwa nchi yetu hii sijaona mchango wa maana kwa hao wanaosemwa wamesoma Oxford, Harvard,millioni 40...sio katika nchi masikini kama tanzania