Acheni vumbi la kongo jamani, fanyeni mazoezi, narudia tena fanyeni mazoezi

Pesa zipo tu

Nawakumbusha nyie mnaowaza vumbi la kongo daily
Mkuu sisi hatuwazi ngono kiasi cha kuwanza kutumia mavumbi ya Congo, tunapiga vya afya na tunajimudu. Madogo ambao mnawaza ngono kila muda ndio maana mnahisi mnaabika halafu kuchakata sio mashindano dogo
 
Tizi ndio kila kitu .

Mi naamini hakuna mwenye upungufu wa nguvu za kiume labda wale waliozaliwa mahanithi

Saikolojia +lishe+mazoezi+mapumziko +ushirikiano =kusimamia ukucha

ONDOA kimoja wapo hapo lazima ufeli
 
Mkuu sisi hatuwazi ngono kiasi Cha kuwanza kutumia mavumbi ya Congo,tunapiga vya afya na tunajimudu.madogo ambao mnawaza ngono kila mda ndo maana mnahisi mnaabika.afu kuchakata sio mashindano dogo
Nyie ndio Wale Wale

Mmelegea legea kitandani

Mnajificha kwenye kimvuli cha "tunapiga cha afya, kumbe hatuwazi ngono "

Nasemaje, fanya mazoezi dogo, kazi kulege legea Kama kuku wa broiler wa dar
 
Ni kweli nyeto inapunguza nguvu za kiume, ila haiondoi zote (inategemeana na frequency ya kupiga nyeto).

Ukiacha nyeto unarudi hali yako ya kawaida kabisa ila MAZOEZI HAYANA NAFASI KWENYE NGUVU ZA KIUME.

Wewe unafanya mazoezi ili kujiepusha na nyeto ila haufanyi kuongeza nguvu za kiume. Ukitaka kuamini ninachokisema basi endelea kufanya vyote kwa pamoja uone kama hujarudi hali ya kushindwa game.
Mazoezi yanaongeza stamina name stamina ndo nguvu z kiume kjana
 
Ni kweli nyeto inapunguza nguvu za kiume, ila haiondoi zote (inategemeana na frequency ya kupiga nyeto).

Ukiacha nyeto unarudi hali yako ya kawaida kabisa ila MAZOEZI HAYANA NAFASI KWENYE NGUVU ZA KIUME.

Wewe unafanya mazoezi ili kujiepusha na nyeto ila haufanyi kuongeza nguvu za kiume. Ukitaka kuamini ninachokisema basi endelea kufanya vyote kwa pamoja uone kama hujarudi hali ya kushindwa game.
Sasa huyu bingwa alikuwa amepitiliza anapiga bao tatu za nyeto deile hiyo lazima ikumalize tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom