Kwanini Hatushukuru amerudi salama,tuombe mwenyezi mungu na sisi yasitufike yalomkuta yeye,kuliko kutaka kujua alifanywa nini? as long as ni mzima hiyo ndio muhimu hamuelewi mtu ameathirika kiyasi kisaikolojia mnataka habari akisha sema alivyofanywa what is next? utamsaidia nini? ebu tijifunze kuheshimu hisia za mtu na kujiweka kwenye nafasi ya mwenzio mwenye matatizo ungekua wewe ungefanyaje...