Achana na matumizi ya mafuta, tumia gas kwenye engine yako ili kuokoa gharama

The redemeer

JF-Expert Member
Jan 28, 2025
2,471
4,474
Gharama ya petrol na diesel huwa zinakula sana mtaji.
Okoa pesa kwa kutumia gas hii hii ya kwenye mitungi ya kupigia ukaitumia vizuri tu kwenye engine yako ya mashine yeyeto mfano water pump, generator au engine yeyeto ili kupunguza gharama.
Kumbuka matumizi ya gas upunguza gharama zaidi ya nusu kama utatumia hizo fuel.
Kwa msaada tuwasiliane
 
Ninauza mfumo mzima wa gesi katika gari yangu Premio, maana na gari naiuza... Mil 1.8
 
WhatsApp Image 2025-03-20 at 6.39.55 AM.jpeg
 
Gharama ya petrol na diesel huwa zinakula sana mtaji.
Okoa pesa kwa kutumia gas hii hii ya kwenye mitungi ya kupigia ukaitumia vizuri tu kwenye engine yako ya mashine yeyeto mfano water pump, generator au engine yeyeto ili kupunguza gharama.
Kumbuka matumizi ya gas upunguza gharama zaidi ya nusu kama utatumia hizo fuel.
Kwa msaada tuwasiliane
Bado hujafafanua faida na hasara, na si engine zote zinafaa kuwekwa gas
 
Umaskini tu , mzungu atengeneze itumie mafuta halafu nimpe mswahili kutoka veta aweke mamitungi kama mabomu kwenye gari, nilibahatika kupanda uber zimewekwa system ya gas ,ni upuuzi mtupu kwanza zinahangaika kupanda milima, pili hazichanhanyi na tayu ukiwasha ac gari inahangaika kwenda,
Tunatumia kwenye kilimo cha umwagiliaji kupunguza gharama za mafuta yanayoadimika shell
 
Mkuu hizo water pump zinazotumia nishati ya na mfumo wa gas tunaweza kuzipata vipi na gharama zako zipoje?
Mimi siuzi bali nimeona mahali zinatumika mashambani unaweza hata unaconnect mwenye unachukua pipe ya mtungi wa gas unaconnect kwenye pipe ipelekayo mafuta kwenye injini inachoma kama kawaida tu unapiga KAZI.
Mimi nimeleta wazo tu.
Ukifaniwa nitumie ya ushauri.
Maana idea moja tu inaweza badili maisha yako
 
Nitakupa mrejesho mkuu
 
Gas ipi hiyo inayotumika kwenye water pump
 
Uzi mbovu kuwai kutokea n huu….

Km zitatolewa tuzo za uzi mbovu jfm…mm nitaupigia kura uzi huu…

No source, no links, no picha. Ni blaah blaah tuu..
 
Back
Top Bottom