Acha kumlilia, yupo anaekupenda zaidi

Kama sio boy friend or girlfriend haina shida tatizo ni mme au mke mfano mmeishi miaka kuanzia labda 5 au 10 si jambo jepesi kuondoka! Kama ni hawala unaumia unakung'uta kisha unaendelea mbele
 
Mapeñzi yapo ila ukikutana na anayejua dhamani ya penzi pole utampata wa kweli Jovitha kila mtu anaye wakwake
 
Omba Mungu utampata mkweli, kitu cha ukweli huja bila kutarajiwa na huwa hana papala ila madunga embe ya kiume utayajua tu usikate tamaa fanya kama vile hukuwa naye
 
Kesi yangu nzito mkuu! Nahitaji mwanasaikolojia halisi au daktari wa magonjwa ya akili
Halafu nikushauli kitu kamawewe ni mkristo soma Neno kwa sana nenda ibadani kama niya kipentekoste omba sana kipindi cha sifa uwepo pia kuabudu uwepo utapata wepesi ukiona nyani kazeeka kakwepa mishale mingi, hata tuliopo kwenye ndoa unaweza pewa jibu hilo ukitoka hapo unaenda kunywa maji tena ya baridi
 
Mapeñzi yapo ila ukikutana na anayejua dhamani ya penzi pole utampata wa kweli Jovitha kila mtu anaye wakwake
Sidhaniii mi naamini pesa ndiyo kila kitu kwanguuu nikiwa na pesa kila kitu safi
 
Omba Mungu utampata mkweli, kitu cha ukweli huja bila kutarajiwa na huwa hana papala ila madunga embe ya kiume utayajua tu usikate tamaa fanya kama vile hukuwa naye
kwasasa nindoto wala mda wakuyafikiria kwakeli sina
 
Sidhaniii mi naamini pesa ndiyo kila kitu kwanguuu nikiwa na pesa kila kitu safi
Pesa sio insue sana watu wanatoka family zenye ukwasi lakini anaolewa na kapuku, atakuja tu naishi na majirani zangu hawana wame ni shida akiona mwanaume anazagaa anauliza huyu hajaoa nifanyie promo, mpka mtu unapata wasiwasi mmmm mapenzi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…