Acha kumlilia, yupo anaekupenda zaidi

Kisa kizuri chenye mafundisho. Hii kitu ni kweli kabisa, mimi binafsi huwa nashindwa kuelewa unaanzaje kusema huwezi kuachana na mtu? Unamlilia yaani kweli? Sielewi kabisa. Mungu atusaidie na atupe ufahamu, kumlilia mwanadamu eti ameniacha siwezi fanya hiyo kitu. Thamani yangu ni kubwa sana na machozi yangu nu mali sana kuyamwagwa kwa ajili ya mtu aliyeamua kuondoka katika maisha yangu. I cry for God to intervene in my life, to be with me always to forgive me but not human being.
Hongera Diana kwa kuiona mapema thamani yako
Kama sio boy friend or girlfriend haina shida tatizo ni mme au mke mfano mmeishi miaka kuanzia labda 5 au 10 si jambo jepesi kuondoka! Kama ni hawala unaumia unakung'uta kisha unaendelea mbele
 
Mimi hayo mateso niliwahi kuyapata Mara moja toka kipindi hich na hisi niharibikiwa kisaikolojia.... Siamini km mapenzi ya dhati yapooo..... Nikija kuchanganya na Yale ya Isaac wa Jf mmmmh siamni hata chembeee....
Nawachukia hawa viumbe sanaaaa kwenye haya maswala ya mapenziii....hata aweje, asemeje sihisi chochote moyoni mwanguuuuu...... So nawaona kawaida sanaaaa
Mapeñzi yapo ila ukikutana na anayejua dhamani ya penzi pole utampata wa kweli Jovitha kila mtu anaye wakwake
 
Unayosema nikweli lkn sina maana mby kwamba na wao wanavaa sketi LA hasha!! Ila sina nao hisia hata aweje naweza nikalala nae hata mwezi mzima alale utupu nilale utupu lkn siwezi kusisimka hata toneer

Sijui nimekuwajee hata kumpenda mtu kwa dhati mpk nikajijua kweli seheemu flani sijiwezi sijisikii kwahiyo swala LA mapenzi/mahusianoo kwangu naliona la kawaida halina kipaumbele
Omba Mungu utampata mkweli, kitu cha ukweli huja bila kutarajiwa na huwa hana papala ila madunga embe ya kiume utayajua tu usikate tamaa fanya kama vile hukuwa naye
 
Kesi yangu nzito mkuu! Nahitaji mwanasaikolojia halisi au daktari wa magonjwa ya akili
Halafu nikushauli kitu kamawewe ni mkristo soma Neno kwa sana nenda ibadani kama niya kipentekoste omba sana kipindi cha sifa uwepo pia kuabudu uwepo utapata wepesi ukiona nyani kazeeka kakwepa mishale mingi, hata tuliopo kwenye ndoa unaweza pewa jibu hilo ukitoka hapo unaenda kunywa maji tena ya baridi
 
Mapeñzi yapo ila ukikutana na anayejua dhamani ya penzi pole utampata wa kweli Jovitha kila mtu anaye wakwake
Sidhaniii mi naamini pesa ndiyo kila kitu kwanguuu nikiwa na pesa kila kitu safi
 
Omba Mungu utampata mkweli, kitu cha ukweli huja bila kutarajiwa na huwa hana papala ila madunga embe ya kiume utayajua tu usikate tamaa fanya kama vile hukuwa naye
kwasasa nindoto wala mda wakuyafikiria kwakeli sina
 
Sidhaniii mi naamini pesa ndiyo kila kitu kwanguuu nikiwa na pesa kila kitu safi
Pesa sio insue sana watu wanatoka family zenye ukwasi lakini anaolewa na kapuku, atakuja tu naishi na majirani zangu hawana wame ni shida akiona mwanaume anazagaa anauliza huyu hajaoa nifanyie promo, mpka mtu unapata wasiwasi mmmm mapenzi haya
 
Back
Top Bottom