ACASIA CEO:We continue to consider all of our options

Barrick president jets into Dar as mining tensions rise

Kwa kifupi, Raisi wa Barrick na Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo wote wako hapa nchini na ni wazi taarifa ya lini kamati ya pili itatoa taarifa yake wameshajulishwa kwasababu wanasena itatoka ndani ya wiki moja au mbili zijazo.


Vile vile CEO wa Barrick amesema pamoja na kutarajia kufikia suluhisho na serikali kuhusu mgogoro huu, lakini bado wanafikiri kutumia options zote walizonazo/zilizopo.

Nimeweka hiyo link hapi juu.

Chanzo:The Guardian

Picha ninayoipata hapa ni kuwa hawa mabwana na serikali wamekubalina kufanya mazungumzo lakini wakishindwani hawataishia hapo na hii ndio hali ya kawaida maana huwezi kukimbilia Mahakamani kabla hata hamjajaribu kutafuta suluhu nje ya Mahakama.

Mimi nitajikita zaidi kutaka kujua hatima ya hawa mabwana(ACACIA) kutaka Tume Huru ya Uchunguzi maana kutegemea hili litaishaje na sisi tunaweza kupata clue ya nini kimeendelea.
Hovyo kabisa.Badalaya kujikita kutaka kujua kama tutalipwa tunachostahili wewe unajikita kutaka kujua tume huru.
Halafu hamuwaelewi hawa,ile kutaka tume huru ilikuwa danganya toto tu,Mbona mtendaji mkuu wao katia timu?
Ungialia taarifa yao ya jana wameonesha kuwa watakuwa tayari kukaa mezani na serikali,hapo hakuna tena mambo ya tume huru.
 
Hivi wewe ni mwakilishi wa Barrick? Hivi mnapata faida gani? Huoni aibu kama mtanzania kushadidia tuendelee kuibiwa kisa humpendi JPM?
kwahiyo ulitaka asilete hizi habari ?

wamchukie magufuli ili iweje?
tumieni akili hakuna mwenye chuki na Raisi.
pokeeni ushahuri na mufanyie kazi na msiangalie nani katoa!
 
Back
Top Bottom