ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

Report ya kamati imekaa kisiasa mno. Kwa uchunguzi kama huu ulihitajika uangalifu zaidi, tahadhari zaidi, utaalam zaidi na utumiaji kamati ambayo ina mchanganyiko mzuri na mkubwa zaidi.

Anayetuhumu, ndiye anayechunguza na ndiye anayehukumu. Sijawahi kuona!

Binafsi sina shida na uchunguzi wala findings zake. Ila handling ya report na dramatisation. Wezi lazima washughulikiwe lakini ilikuwa sahaihi zaidi kutoi dramatise hivyo hadharani kwa sababu kimsingi bado tunawahitaji ili watulipe fidia kutokana na mapungufu hayo kwa mpaka miaka ya nyuma. Wakifa hatutapata hizo pesa na tunaweza tusipate mchimbaji mwingine ukizingatia migodi hiyo inaelekea mwisho wa uhai wake. Tunahitaji busara zaidi kushughulikia suala hili bila kuleta madhara kwetu.
 
Moto unakaribia kuwaka......

Kuleta siasa za resource nationalism kwenye hela ya mtu aliyowekeza si jambo dogo,billions zimelala hapo,kutoa taarifa ya upande mmoja,tena iliyoandaliwa na academicians wanaosahihisha mitihani na hawajawahi kuendesha mgodi au biashara ya madini zaidi ya kusahihisha mitihani ya vijana waliotoka form six!!

Mziki nauona ndio kama unaanza,hao wazungu wanaongelea "of commercial value"
Mmmh kwa hili niko na mkulu 100% inaonekana haujui corporate thugs
 
Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia imetoa taarifa kuhusu Ripoti aliyokabidhiwa Rais Magufuli leo asubuhi kutoka kwa Kamati iliyopewa kazi ya uchunguzi.

Kamati imetoa taarifa kuwa kampuni ya Acacia haijatoa taarifa kamili ya kiasi cha madini kilichopo kwenye makanikia yaliyoshikiliwa na kwamba amri ya kuzuia usafirishaji wa makontena yenye mchanga huo inaendelea kuwepo.

Acacia bado haijaiona Ripoti hiyo inayosema kuwa kiasi cha madini kilichopo kwenye makontena hayo yanayoshikiliwa hadi sasa katika Bandari ya Dar es Salaam ni mara 10 ya kiasi kinachotajwa kwenye nyaraka za usafirishaji. Bado tunatafuta Ripoti kamili na ufafanuzi zaidi.

Acacia inasisitiza kuwa huwa inatoa taarifa kamili ya kila kitu chenye thamani ya kifedha ambacho tunazalisha na huwa tunalipa kodi zote stahiki kwa kila madini yanayotakiwa kulipiwa.

Tutatoa taarifa zaidi kwa wateja haraka iwezekanavyo.

=========

24 May 2017

Acacia Mining plc

LSE:ACA

("Acacia" or the "Company")

Update on the export of metallic mineral concentrates

Acacia would like to inform the market that the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli is hosting a public presentation this morning at 07:30 UK time, in Swahili, where the Chairman of the first Presidential Committee, made up of academics and industry professionals to investigate the contents of the concentrate containers, will present a report to the President.

Acacia has fully co-operated with their work. The report and the findings of the Committee have not been shared with Acacia and it is not clear to what extent they will be disclosed at the presentation this morning. Acacia will provide an update to the market as soon as practical following the President's press conference.

UPDATE:

Further update on the export of metallic mineral concentrates

Acacia notes the findings of the Presidential Committee’s investigation into the export of gold/copper concentrates which were presented to the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli this morning. The Committee has stated that Acacia has not fully declared all of the minerals contained in the concentrate and the directive halting the export of metallic mineral concentrates remains in place.

Acacia has not yet seen a full copy of the report, which states that the value of minerals within the concentrates in the containers currently at the Dar es Salaam port is more than 10 times the declared amount. We are seeking a full copy of the report and further clarification.

Acacia re-iterates that it fully declares everything of commercial value that we produce and pay all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce.

Acacia will provide a further update to the market as soon as practical.


Pathetic!!! Declare what? I think, you were having an opportunity to declare everything with the committee. The problem is that you thought things will be as usual as previous! (Business as usual). And I guess you made a lot of efforts to bribe the members, but remember this is a new era, where radicalism should get up! (Refer to Trump and Durtete)!! Who are you imperialist cannibals? You have ate our flesh and yet our blood! There is no need for you to declare anything, that is all about what you have been doing in this country. Prof Muhongo knows this, but because of personal interests and privileges, he was maximum muted.
 
Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia imetoa taarifa kuhusu Ripoti aliyokabidhiwa Rais Magufuli leo asubuhi kutoka kwa Kamati iliyopewa kazi ya uchunguzi.

Kamati imetoa taarifa kuwa kampuni ya Acacia haijatoa taarifa kamili(sahihi) ya kiasi cha madini kilichopo kwenye makanikia yaliyoshikiliwa na kwamba amri ya kuzuia usafirishaji wa makontena yenye mchanga huo inaendelea kuwepo.

Acacia bado haijaiona Ripoti hiyo inayosema kuwa kiasi cha madini kilichopo kwenye makontena hayo yanayoshikiliwa hadi sasa katika Bandari ya Dar es Salaam ni mara 10 ya kiasi kinachotajwa kwenye nyaraka za usafirishaji. Bado wanatafuta Ripoti kamili na ufafanuzi zaidi.

Acacia inasisitiza kuwa huwa inatoa taarifa kamili ya kila kitu chenye thamani ya kifedha ambacho tunazalisha na huwa wanalipa kodi zote stahiki kwa kila madini yanayotakiwa kulipiwa.

Wanamalizia kwa kusema watatoa taarifa zaidi kwa wateja haraka iwezekanavyo.

=========

24 May 2017

Acacia Mining plc

LSE:ACA

("Acacia" or the "Company")

Update on the export of metallic mineral concentrates

Acacia would like to inform the market that the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli is hosting a public presentation this morning at 07:30 UK time, in Swahili, where the Chairman of the first Presidential Committee, made up of academics and industry professionals to investigate the contents of the concentrate containers, will present a report to the President.

Acacia has fully co-operated with their work. The report and the findings of the Committee have not been shared with Acacia and it is not clear to what extent they will be disclosed at the presentation this morning. Acacia will provide an update to the market as soon as practical following the President's press conference.

UPDATE:

Further update on the export of metallic mineral concentrates

Acacia notes the findings of the Presidential Committee’s investigation into the export of gold/copper concentrates which were presented to the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli this morning. The Committee has stated that Acacia has not fully declared all of the minerals contained in the concentrate and the directive halting the export of metallic mineral concentrates remains in place.

Acacia has not yet seen a full copy of the report, which states that the value of minerals within the concentrates in the containers currently at the Dar es Salaam port is more than 10 times the declared amount. We are seeking a full copy of the report and further clarification.

Acacia re-iterates that it fully declares everything of commercial value that we produce and pay all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce.

Acacia will provide a further update to the market as soon as practical.

We now say it loud "No more ripping" of our mineral resources !!!
 
Uzuri hapa Jamiiforums tunasoma ripoti ya serikali na ACACIA kwa umakini mkubwa ili kuweza kupata uelewa mzuri ni nini kilifanyika .

Pia vilevile utendaji na usimamizi wa wizara unaofanywa na mawaziri pamoja na makatibu wakuu wao pia tunaufanyia uhakiki.

JuziJuzi jamiiforums, tulihoji sera ya industrialisation/ viwanda ya Waziri Charles Mwijage kama inakidhi matumaini ya nchi kufanya mapinduzi ya viwanda na ripoti hizi kuhusu mchanga pia tutamuweka Prof. Muhogo ktk mizania kuona kama anamudu majukumu, changamoto, Ubunifu , visheni katika kutekeleza wajibu wake ktk wizara au hapana.
 
Report ya kamati imekaa kisiasa mno. Kwa uchunguzi kama huu ulihitajika uangalifu zaidi, tahadhari zaidi, utaalam zaidi na utumiaji kamati ambayo ina mchanganyiko mzuri na mkubwa zaidi.

Anayetuhumu, ndiye anayechunguza na ndiye anayehukumu. Sijawahi kuona!
Nadhani umeona sasa!!!!!
 
Kuna mijitu imekula ela za acacia sasa inaanza kubwabwaja na kutetea mizungu haioni uchungu wa kuibiwa natamani tungekua na sheria ya kunyonga ikanyongwa yote
Hahahahah tatizo mkiambiwa na Magufuli tunaibiwa mnapaniki
 
Acacia why rush and worried if you had been declaring and pay taxes and royalties accordingly?.
I thought you would have waited for the full report that's the one presented today and the one in progress and also contact your colleagues to come up with true case. Otherwise we shall not understand you and for sure we are supporting our president .
 
Nachojua mimi, vita ya namna hii imeendeshwa na nchi nyingi sana, na hakuna iliyowahi kushinda. Venezuela, Argentina Chile zilifanya hivihivi, mwisho wa siku aibu. Ni suala la muda tu. Wazungu kweli wezi, ila wametuzidi akili hawa watu. They are very smart.

Pamoja na ujanja wa kuweka Mgt / wataalamu wajanja wajanja na Wanasharia nchii nyingi mf Newzland, SA, Australiaz, Marekana na Canadas watahangaika sana leo kujisafishe ila ukweli umeshawekwa kwenye sahani ya siver. Things will never be the same again.
 
Back
Top Bottom