ACACIA Mining PLC set to close loss-making mine as Tanzania export row deepens

So wanataka kutuambia kua ule mchanga (makapi) ndio ulikua wanautegemea kwa kutafuta faida ya kila siku??
Kama ndivyo je dhahabu inayopatikana nayo wanaifanyia nini??
Wafunge tu waondoke wezi hawa, washatuibia sana

Subiri serikali iandae bajeti ya kwenda kufukia yale mashimo walioyaacha..
 
Kwa ujumla hii habari hujaielewa. Hasara hawapati kwa sababu ya mchanga kwamba hawajasafrisha kwao na ndio faida yao. Hasara hii inatokana na zuio la makontena ambalo limepelekea bei ya "HISA" za Acacia katika soko la Hisa la UK na DSE la Dar Es Salaam kuporomoka.
 
So wanataka kutuambia kua ule mchanga (makapi) ndio ulikua wanautegemea kwa kutafuta faida ya kila siku??
Kama ndivyo je dhahabu inayopatikana nayo wanaifanyia nini??
Wafunge tu waondoke wezi hawa, washatuibia sana
Unajua watu wangapi watakosa ajira na wanafamilia au unashabikia tu? Unadhani ni Arsenal na Man U
 
Kwa kweli wala sioni sababu ya kuwepo hawa wezi hapa Tanzania. Serikali inatakiwa kutaifisha sio kukaa meza moja na hawa wezi. Ikiwa mchanga wanawapa faida je hizo dhahabu na madini mengine wanayapeleka wapi? Wapuuzi sana hawa ACACIA, Serikali iwafilisi haraka sana. Wasitutishe kama kufunga waufunge na wakamatwe kwa kuhujumu uchumi pamoja na Chenge na genge la wenzake wakina Mkapa na Kikwete
 
Unajua watu wangapi watakosa ajira na wanafamilia au unashabikia tu? Unadhani ni Arsenal na Man U

Unajua tumeibiwa kiasi gani? kama ajira atakuja mwekezaji mwengine hatuwezi kutetea ajira huku waliouzunguka mgodi (Wanavijiji) hawanufaiki nao pamoja na Taifa. Wandoke zao wezi tu hawa ACACIA
 
Kwa ujumla hii habari hujaielewa. Hasara hawapati kwa sababu ya mchanga kwamba hawajasafrisha kwao na ndio faida yao. Hasara hii inatokana na zuio la makontena ambalo limepelekea bei ya "HISA" za Acacia katika soko la Hisa la UK na DSE la Dar Es Salaam kuporomoka.

Kweli hujaelewa kijana rudi tena ukaisome hiyo report
 
Unajua tumeibiwa kiasi gani? kama ajira atakuja mwekezaji mwengine hatuwezi kutetea ajira huku waliouzunguka mgodi (Wanavijiji) hawanufaiki nao pamoja na Taifa. Wandoke zao wezi tu hawa ACACIA
Umeibiwa na nani? Kwa nini tusi deal na kinachosababisha tuibiwe badala ya kuruka ruka
 
Wanayaita Makapi
Hayana Kitu
Yana 1/10 ya dhahabu!!
Leo wanalia kuhusu makapi hayo kuzuiliwa!!
Haoa watanzania wanapaswa kuamka na kumuunga mkono Mh.Raid
Hawa wametuibia vyakutosha
Masiki na Wanae sikuzote
Wacheni tufie kwenye Mali zetu
 
Umeibiwa na nani? Kwa nini tusi deal na kinachosababisha tuibiwe badala ya kuruka ruka

Tunaibiwa na wawekezaji feki walioletwa na CCM. Kwanza tunadeal na wezi halafu tutadeal na waliongia mikataba na hawa wahuni ACACIA
 
Unajua hapa ni ubishi tu wa kibongo. Unajua athari za soko la hisa za kampuni kushuka? Hapa wanahisa na potential shareholders na investors katika Acacia wameshaanza kupoteza imani.
 
From what ACACIA is saying that " they will close Bulyanhulu Gold Mine if a ban on exporting copper concentrates ", then it is obvious that there is a more lucrative business with the concentrate than saling pure gold.
It also implies that Bulyanhulu Gold mine has little gold deposite which its value is not worth prospering if the ban continue to be effective. From the obsevery remarks, then it Crystal clear that the Concentrate business is more profitable than what ACACIA tried to make the public to believe.
If that is the case then ACACIA should be more transpirate and declare actual amounts and pay for
 
Kabisa aiji akilini leo hii viwanda wa kuprocess mkonge walalamike kuzuiliwa kusafirisha makapi ya mkonge alafu waseme wanapata hasara! Jamaa walikuwa wanapiga sana! Da kweli Tanzania ni shamba la bibi
Halafu majitu yanakuja na povu kupinga kila kitu kinacho fanyika kweli!!!!
 
Back
Top Bottom