Abiria wa bamaga,sayansi,na makumbusho wakosa daladal za moja kwa moja hadi kawe

jjackline

Senior Member
Jul 25, 2024
111
274
kutokana na ukosefu wa daladala zinafanya safari za moja kwa moja vituo hivyo hadi kawe abiria wanalazimika kupanda daladala mara mbili ili kufika kawe hali hii imekuwa ikiwaongezea mzigo wa nauli na muda wa safari jambo ambalo linaathiri shughuli zao za kila siku
 
Daladala za Gerezani - kawe siku hizi hazipiti bamaga.... Nimetoka dar kitambo kidogo.
 
kwani si mtembee tu kama ni hvo bas na wa msasani tupatiwe gari za makumbusho moja kwa moja 😆😀
 
Back
Top Bottom