KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,146
Hao wabakaji wange mbaka mtu kama wema sepetunga.kwa hakika wangekuwa vilema hivi sasa.
hivi mada ilikuwa inasemaje maana nishasahau?Amen mkuu Mungu yu Mwema.
Kwa hiyo unataka kusema wakibaka, mwanamke haumii....?!nasikia India wengi wana vibamia.
Njia yake ishakuwa kubwa ya kubeba semi trela
huyo atakuwa anapenda kudinywa tu....itakuwaje abakwe mara mbili?Kwa mtazamo wa wengi radi haiwezi kupiga mti mmoja mara mbili.,,, lakini kwa mwanamke mmoja nchini India hilo ndilo lililomkuta.
Huko India,Binti huyo mwenye umri wa miaka 21 amebakwa na
wanaume watano kwa mara ya pili.
Miaka mitatu iliyopita binti huyo alibakwa na wanaume wao hao watano katika mji wa Bhiwani.
Sadfa ni kwamba binti huyo aliyetorokea mji tofauti wa Rohtak ulioko katika jimbo la Kaskazini la Haryana alishikwa na kubakwa tena juma lililopita.
Alikuwa akitembea barabarani kisha akatekwa nyara na watu ambao nusura wamnyonge.
Alinusurika kufa lakini alichokipitia ni cha kutamausha sana.
Binti huyo alibakwa na kutupwa kichakani.
Kwa bahati nzuri msamaria mwema aliyekuwa akipita eneo hilo alimsikia akitoa sauti hafifu na kumpeleka hospitalini alikotibiwa hadi akarejesha afya yake.
Alipopata afueni alisema maneno yaliyoibua hasira miongoni mwa jamii.
''Nilikuwa nikitembea barabarani nikitoka chuoni kuelekea nyumbani kisha nikawaona walewale wanaume walionibaka huko Rohtak.
Nilishtuka na kuhofia maisha yangu. Walishika na kujaribu kuninyonga.walinieleza kuwa watawaua babangu na kakangu.''
Sijui walikonipeleka kwa sababu nilipoteza fahamu ila ninachokijua ni kuwa walikuwa wale wale walionibaka miaka mitatu iliyopita.'' binti huyo kutoka jamii maskini aliiambia runinga moja ya kitaifa nchini India.
Familia yake inasema kuwa washukiwa hao walikuwa wakiwashinikiza kukomesha mashtaka dhidi yao lakini binti yao akakataa kata kata.
Sasa polisi wametumwa huko kuwasaka watuhumiwa hao.
Mamia ya wenyeji wa mji wa Rohtak, wameandamana wakitaka serikali iwachukulie hatua kali washukiwa hao wa kosa hilo la kinyama.
Chanzo: BBC Swahili
una rangi nzuuri?Amen mkuu Mungu yu Mwema.