A Letter to Jakaya Kikwete concerning a threat of 'Arab Settler Colonialism' through the instrumentality of Tanzania-Dubai Treaty

Unaejifanya-Unayejifanya

What’s master corrector??

While ujui shit-Unajua shit

(kwa context ya nia ya ulichoandika ilikuwa ni dhihaka kwahiyo kama ulikuwa unanitukana ulipaswa uandike kwamba najua shit sasa kama sijui shit maana yake hujadhihaki)
Kumbe ujui maana ya maneno kama but..while in a sentense na kwa kwanini niandike unajua wakatu hujui kitu.... nilidhani your smart before so the while ipo apo kuonyesha what i thought haiko ivyoo kumbe hujuii kitu
 
Kumbe ujui maana ya maneno kama but..while in a sentense na kwa kwanini niandike unajua wakatu hujui kitu.... nilidhani your smart before so the while ipo apo kuonyesha what i thought haiko ivyoo kumbe hujuii kitu

wakatu-Wakati
So the while ndio nini boss??


Yani hayo maelezo yako yananipa taabu sana kuyaelewa.

Be honest ulimaliza sekondari?
 
Lets talk school ni american english swag style....tembea bro...have exposure...it will save you from little embrassement kama izii

Kaka nakuhakikishia nikiweka passport yangu na yako halafu tuwaulize wana JF nani katembea na nani ni mbweha, Utakubali kupata fedheha??
 
Handed presidency to two Arabs
Would they be Magufuli of Chato and Hussein Mwinyi of Mkuranga?
 
Nasikia harifu ya Anna Tibaijuka.

Anna Tibaijuka sakata la kupokea vijisenti halafu Kikwete kumtimua linamuumiza sana roho mpaka leo.


Anna Tibaijuka, Kikwete alikuwa muungwana sana hajawafunga. Ungeendelea na kauli zako za kujitetea kijinga za "vijisenti vya mboga" wakati wa mwendazake, ungeungana na Ruge na Habinder kunyea debe.

Vipi Anna, walikutemesha nini mshiko?

Wewe mama Unazingua na vicomment vyako uchwara.....

Mara huyu kafanywa hiki....

Mara huyu katemeshwa mshiko...

Mara Kinana na Makamba blah blah....

Mara Bashiru katemeshwa nini....

Nakuhakikishia hakuna unachojua zaidi ya kuzingua kahawa hapa....

Acha kuleta mazingaombwe kwenye vitu vya msingi.

Watu wanahoji mambo ya msingi wewe unaleta mahaba ya kiboya.....

Endeleeni kusaga na kukuboa wanawake wenzenu.....
 
Back
Top Bottom