MNYAMAKAZI JF-Expert Member Oct 7, 2014 2,118 2,194 Feb 22, 2016 #22 Yaani analingana na huyu wangu ambaye natoka kumkimbiza sasa hivi akaoge.
Mwabhleja JF-Expert Member Jan 27, 2016 1,351 2,061 Feb 22, 2016 #23 Nimekubali kwamba akili ni nywele hata Asha Ngedere anazo
Powder JF-Expert Member Jan 6, 2016 4,809 6,305 Feb 22, 2016 #24 Kikwajuni One said: Kama hujui Misri iko bara la Afrika ,rudi shule. Click to expand... Sijasema Misri haipo Africa mkuu! Usitake kukimbia, point yangu ya msingi Ni kwamba Uarabu Si Kabila Kama ulivyojaribu kutudanganya!
Kikwajuni One said: Kama hujui Misri iko bara la Afrika ,rudi shule. Click to expand... Sijasema Misri haipo Africa mkuu! Usitake kukimbia, point yangu ya msingi Ni kwamba Uarabu Si Kabila Kama ulivyojaribu kutudanganya!