Ila wewe jamaa eti ukiweza beba na jenereta duu nimecheka Sana'a..wapi nilipo lazimisha kuwa wote mkae ofisini? mbona unapanic faster hivi? hembu rudi tena kasome michango yangu ndo utanielewa zaidi. nimesema kuwa kwangu hiyo mi powe bank haina maana yoyote, ni kwaajili ya watu wa mishemishe, na mmoja wao ni wewe, unaweza beba hata power bank tatu power to, ukiweza beba na genereta kabisa.