8th house(nyumba ya nane)

Hiyo ngeli kwenye heading haiko sawa.

The eighth house.

Ndiyo tafsiri sahihi ya hicho Kiswahili kwenye mabano.

Moderator saidia hapo.
 
mkuu mshana jr, sagittarius hapa hiyo picha ya juu kwa jamaa hapo imegoma kwangu, maelezo tafadhal

Picha nyingi zinagoma ngoja nitafute mfumo bora zaidi
1454828837481.jpg
 
Mmmmhhh.... Haya mambo ya nyota haya, ngoja niyaache maana kuna wakati niliyafatilia nikajua kwamba nyota yangu na ya mme wangu havipatani/haviendani na ndio sababu ya migogoro katika ndoa.

Eti solution ni kuachana... Subutuuuu, mjini tutabanana hivo hivo hizo nyota ngoja zigongane mpaka zigeuke mwezi!!!
 
you made my day
 
mimi nimeanza kukuelewa nasubiri ufafanuzi zaidi,umezungumzia mars,venus umenichanganya kidogo
 
Back
Top Bottom