LWENYI
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,797
- 2,107
Mkuu nimekua nikisikia sana habari za hii net ya hao jamaa vipi ni hatari sana eeeeh?tafuta internet ya simbanet na wewe usuuze macho kidogo, hata kwa dakika 2 tu.
Mkuu nimekua nikisikia sana habari za hii net ya hao jamaa vipi ni hatari sana eeeeh?tafuta internet ya simbanet na wewe usuuze macho kidogo, hata kwa dakika 2 tu.
ping yake ni 2ms tu, na speed yao sijui inaishia ngapi mimi nilitumia package ya 5mbps, kuna package nyingi sana cheki hapaMkuu nimekua nikisikia sana habari za hii net ya hao jamaa vipi ni hatari sana eeeeh?
Shukrani mkuu ngoja nijifunze then nitaitafuta!ping yake ni 2ms tu, na speed yao sijui inaishia ngapi mimi nilitumia package ya 5mbps, kuna package nyingi sana cheki hapa
Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala