2025 kama siyo Majaliwa basi ni Januari Makamba

2025 kama siyo Majaliwa basi ni Januari Makamba:
upepo ukiendelee hivi na serikali ya Magufuli ikafanya mazuri basi Waziri Mkuu akichukua fomu anabeba Nchi. na ikitokea Magu na serikali yake wasipofanya vizuri..makamba atabeba Nchi..
hii itawezekana tu km makamba akiendelea kuwa relevant. uwaziri kwa makamba ni muhimu sana.

zingatia pia sasa ni jumapili lazima atakaye kuja ni ijumaa. ndo utaratibu wa chama
Majaliwa au mwiguru
 
Naona kikundi cha watu wasiofikia mia wakijiaminisha kuwa ndio wana haki ya kuwatawala wengine zaidi ya milioni 48. Kibaya zaidi hawa zaidi ya 48,000,000 nao wameshajiaminisha kuwa ni kundoo wa hili kundi lisilofikia 100!
Inasikitisha kwa kiasi kikubwa lakini hakuna namna maana ushahidi ni matokeo ya Jumapili iliyopita.
kaka usipaniki..Upinzani hajajipanga..labda baada ya majaliwa na makamba
 
Acha ujinga wa kuhusisha jumapili na ijumaa wanachotaka wa watanzania si jumapili, ijumaa, jumamosi wala deileee or deileee complement.
Msaafu wa Taifa wa 1977 pamoja na vilaka vyake haujataja siku kama ulivyozitumia. Zaidi "mwezi huu" haufai kabisa kutawala nchi hilo liko wazi hata wakulima wa machungwa wa handen, muheza na korogwe wanajua.
 
2025 kama siyo Majaliwa basi ni Januari Makamba:
upepo ukiendelee hivi na serikali ya Magufuli ikafanya mazuri basi Waziri Mkuu akichukua fomu anabeba Nchi. na ikitokea Magu na serikali yake wasipofanya vizuri..makamba atabeba Nchi..
hii itawezekana tu km makamba akiendelea kuwa relevant. uwaziri kwa makamba ni muhimu sana.

zingatia pia sasa ni jumapili lazima atakaye kuja ni ijumaa. ndo utaratibu wa chama
Leo cnamud yakutukana acha nipite tu
 
labda majaliwa kidogo sana, lakini na yeye watu wanamweka kapu moja na magu kwa kusababisha maisha magumu mtaani, february wakimweka hata mimi nikisimama peke yangu namshinda....sema tatizo hakuna chama chochote cha upinzani kilichosimama hadi sasa, labda lowasa aendelee kupendwa hivihivi. la sivyo, ssm haitakuja kushinda.
 
Kweli nami naamini watanzania bado tumelala bado tu watu wana ndoto za kutawaliwa na wana wa viongozi, hii ni ajabu na bahati mbaya sana ebu tutoke huko jamani
 
Back
Top Bottom