2020 upinzani hautafikisha wabunge 10

Kasi ya Dr Magufuli kutatua kero za watanzania, kutumbua majipu yalikuwa yanafaidi keki ya taifa peke yao, kuendelea kuboresha miundombinu ya usafiri, kuziba mianya ya uvujaji wa rasilimali za nchi pamoja kurudisha nidhamu katika utumishi wa umma ni baadhi tu ya makubwa aliyokwisha ifanyia Nchi yake mzalendo huyu.

Ni mwaka mmoja na ushee hivi sasa tangu aikamate Ikulu lakini kazi yake ni sawa na wale waliozeekea mle. Tuendelee kumuunga mkono na sio siri tena kwamba kwa hali hii come 2020 wapinzani kwa ujumla wao wanaweza wapate wabunge wasiozidi 9.

Tutaona.
Mkuu wa familia kabla ya yote ni kuilisha, kuivika na kuipatia siha safi familia yake kwa kidogo anachopata kabla ya kuanza kununua viwanja, kujenga mahekalu na kununua magari huku watoto wakipiga miayo, wakivaa matambara na kushindwa kwenda shule.

Mkuu wa kaya ya Tanzania vitu muhimu vimesimama ambapo waliomtangulia walikuwa wanadumu. Mfano: Bajeti ya 2016/17 Halmashauri za wilaya ambako ndiko Watanzania walio wengi waliko, walipata mgao wao December 2016, yaani waliendesha shughuli muhimu kwa miezi 6 (Julai hadi Desemba) bila pesa jambo ambalo ni mateso na halikuwahi kutokea ktk historia ya Tanzania/Tanganyika. Huduma zilizokwama ni za barabara, matibabu, elimu, maji nk. Utamsifiaje aliyesababisha?

Alipopata pesa kanunua ndege, huku vipaumbele na vilivyo kero kwa wananchi kutoshughulikiwa, utampendea nini JPM hapo?

Mikopo ya wanafunzi imekuwa shida zaidi kuliko walio mtangulia.

Ajira, haki za watumishi na wastaafu viko kapuni, utampendea nini?

Utu na demikrasia amevisambaratisha utampendea nini!

Kuna wanaodhurumiwa nk nk, kuna wanaodhalilishwa nk nk. Nani ataichagua ccm?

Jua kuna mtaji wa wapinzani. Yaani tangu wauone upinzani kuwa mjarabu kwao hata ufanye nini wao hawadanganyiki. Wako busy kuona kila afanyalo JPM si chochote so lolote na ni wengi.

Kuna wasio ona wanatendewa haki ndani ya ccm.

Kuna wanao umia kiuchimi, kijamii na kisiasa kwa hali ailetayo JPM.

Yapo mengi yanayopingana na dhana ya mtoa hoja. Wengi huko vijijini hawaoni ubora na umuhimu wa kutumbua watu.

Kuna wanao amini ccm ndio walikuwa mafisadi, wabadilifu, wala rushwa na kwa miaka 50 walijilimbikizia utajiri na sasa wanakaa kula ktk kivuli cha kutumbua, kuijenga nchi na kufanya kazi. Kwamba wao wawe mabwana na kizazi hiki cha sasa wawe watwana wao.

Kwamba iwapo wapinzani watakazana na kufukua makaburi, yaani Kila aliye kuwa fisadi, aliyechukua rushwa, aliyebadilifu, aliyepata kutoka wizi, madawa ya kulevya nk arudishe. Hivyo kila aliye nacho aulizwe na maelezo ya kuwa nacho yasiporidhisha atakuwa amepata kupitia maovu yaliyotajwa hivyo anyanganywe, kwa hivyo wapinzani watakuwa wameenda hatua moja mbele ya kutumbua majipu na watakuwa vipenzi vya watu.

Hapo itarajiwe ccm kufa ni suala la muda.
 
Upinzani upo busy na makonda timu za mikakati zipo kazini ikifika jioni wanakaa kujisifia jinsi walivyo sambaza jumbe za makonda ndio upinzani wetu
 
Dah.... Kwa style hii ya Mbowe? Labda aanze kuzikwa yeye kwanza... maana hamjui atakuja kwa gia gani 2020....ukichukulia biashara zake za kifisadi zimebainika... Sijui?
Sasa hv ni biashara ya viti maalum inasubiliwa kwa hamu
 
Kasi ya Dr Magufuli kutatua kero za watanzania, kutumbua majipu yalikuwa yanafaidi keki ya taifa peke yao, kuendelea kuboresha miundombinu ya usafiri, kuziba mianya ya uvujaji wa rasilimali za nchi pamoja kurudisha nidhamu katika utumishi wa umma ni baadhi tu ya makubwa aliyokwisha ifanyia Nchi yake mzalendo huyu.

Ni mwaka mmoja na ushee hivi sasa tangu aikamate Ikulu lakini kazi yake ni sawa na wale waliozeekea mle. Tuendelee kumuunga mkono na sio siri tena kwamba kwa hali hii come 2020 wapinzani kwa ujumla wao wanaweza wapate wabunge wasiozidi 9.

Tutaona.
Una kura moja tu, usitusemee na sisi tunazo zetu who the hell are you? Ni kweli upinzani umeishiwa hoja ila mkuu mwenyewe ndio anaupigia kampeni kwa matendo yake.
 
JK maisha yalikuwa mazuri tukachukua 6 Dar
Huyu p......... Na maisha haya asitegmeee kupata wengi
 
Kasi ya Dr Magufuli kutatua kero za watanzania, kutumbua majipu yalikuwa yanafaidi keki ya taifa peke yao, kuendelea kuboresha miundombinu ya usafiri, kuziba mianya ya uvujaji wa rasilimali za nchi pamoja kurudisha nidhamu katika utumishi wa umma ni baadhi tu ya makubwa aliyokwisha ifanyia Nchi yake mzalendo huyu.

Ni mwaka mmoja na ushee hivi sasa tangu aikamate Ikulu lakini kazi yake ni sawa na wale waliozeekea mle. Tuendelee kumuunga mkono na sio siri tena kwamba kwa hali hii come 2020 wapinzani kwa ujumla wao wanaweza wapate wabunge wasiozidi 9.

Tutaona.
Kero gani alizotatua kwa mfano? Au unajitekenya tu?
 
2020 sio mbali tutaona ndoto mnazoota!!...Bora kuchagua hata jiwe sio huyu wenu!..Uhuru mtandaoni hakuna, ajira hakuna, mikopo kwa wanafunzi hakuna, kodi kubwa, matajiri wanatakiwa ishi kishetani unasema upinzani utakufa!!..
2020 sio mbali, naweka akiba ya maneno:mad: :mad: :mad:
 
Upinzani upo busy na makonda timu za mikakati zipo kazini ikifika jioni wanakaa kujisifia jinsi walivyo sambaza jumbe za makonda ndio upinzani wetu
Pole sana mkuu kwa fikra ndogo kama hizo.
 
Kasi ya Dr Magufuli kutatua kero za watanzania, kutumbua majipu yalikuwa yanafaidi keki ya taifa peke yao, kuendelea kuboresha miundombinu ya usafiri, kuziba mianya ya uvujaji wa rasilimali za nchi pamoja kurudisha nidhamu katika utumishi wa umma ni baadhi tu ya makubwa aliyokwisha ifanyia Nchi yake mzalendo huyu.

Ni mwaka mmoja na ushee hivi sasa tangu aikamate Ikulu lakini kazi yake ni sawa na wale waliozeekea mle. Tuendelee kumuunga mkono na sio siri tena kwamba kwa hali hii come 2020 wapinzani kwa ujumla wao wanaweza wapate wabunge wasiozidi 9.

Tutaona.
Hiyo 2020 iwepo Katiba ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi.

Tutaona.
 
Ni kweli gamba wewe hapo kwa sababu tume huru haipo na hawa wakurugenzi makada walioteulowa na wakuu wa wilaya hawatatangaza matokeo sahihi.
 
Cjui chadema tumerogwa na nani uchaguzi uliopita tuli itwa watetezi wa mafisadi tukapigwa chini saiz tutaitwa watetez wa ma drug diller
 
Back
Top Bottom