2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

Uhuru wa habari unatusaidia nini kwani uhuru wa habari unachimba visima vya maji mbona rwanda na islael hakuna uhuru wa habari lkn mambo yanasonga.

Ni mpumbavu pekee ndie anaeweza kuufananisha mfumo wa Israel na Tanzania utafikiri Tanzania ni Israel na Israel ni Tanzania,jinga wew
 
Mkuu unaonekana uko vizuri saana katika kufanya utabiri. Hebu tabiria na chama cha ACT itakuwaje wakati huo.
 
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,

Sisi wananchi tunataka maendeleo, na kazi ya upinzani ni kuangalia pale ambapo serikar inakosea kisha kukosoa na kutoa suluhisho la nini kifanyike, hivyo Chadema kama ni wazalendo na sio tu wapigania madaraka watajikuta bado wana nafasi kubwa ya kuendelea kuipa changamoto serikali maana hii nchi bado ina changamoto nyingi zinazohitaji fikra makini, hivyo Chadema kama ni wazalendo wa kweli watajikuta wanamajukum mengine ya kufanya juu ya hii nchi lakini jukumu la kushughulikia ubadhirifu na uzembe, oooh! Ngosha amekaa vizuri na kiwembe.
 
Sasa tuachieni bunge basi liwe live, mnaogopa nini?
Live parliament sessions seems to be your last hope of cheap popularity but this will not work with JPM. You better go to your electorates and help them solve their problems rather than crying your hearts out every day about parliament live sessions. This is a closed case, period. CDM should go back to the drawing board and think of new startegies.
 
Back
Top Bottom