2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,706
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,
 
Inaweza ikachukuliwa kama ni propaganda lakini kama CCM watamtumia Magufuli vizur kwenye kampeni CDM hawatatoboa 2020
 
Hii thread ya watu wa Lumumba kutoa stress zao hasa baada ya kuona maamuzi ya kufanya vikao vya bunge kuwa siri imewachefua watanzania wote kasoro wale wanaotaka maovu ya ccm yasiwekwe wazi bungeni.
 
Ndo za viroba izo, chadema tunafkir kuchukua nchi, mambo ya wabunge hatuwaz coz uchaguz uliyopita bila kuiba ccm msinge pata wabunge
 
Chadema naona kwa wabunge na nafas nyingine za kupigiwa kura wataongeza idadi ila kwa rais magu tu. Magu anakubalika ila watendaji wake bado tunawaona ni vibaka tu tena hii ya kutoonyesha bunge tutaenda kwa hasira zote kuwatoa wabunge wa ccm na wanachojifichia huko
 
Ndo za viroba izo, chadema tunafkir kuchukua nchi, mambo ya wabunge hatuwaz coz uchaguz uliyopita bila kuiba ccm msinge pata wabunge
Kwani simtaibiwa tena? Kwanini msiweze kuibiwa tena kama mwanzo mliweza kuibiwa nini kitazuia kuibiwa tena.
 
Back
Top Bottom