2015 best moment: Kukatwa bila kuangalia sura, majina ya mfukoni, JK ametisha sana

katika kitu ambacho sisi watu tunaofuatilia siasa za Tanzania muda MREFU hatutosahau tukio kubwa alilofanya JK KWA KUSIMAMA IMARA KUHAKIKISHA KWAMBA KUNDI LA MAJIZI likiongozwa na JIZI KUU LOWASSA kwamba haliingii ikulu.kundi hili liliwahonga karibu robotatu ya wapiga kura ndani ya NEC wakiamini kwamba mtu wao atapita ili WALE NCHI WANAVYOTAKA.ni JK ndio aliotunusuru na hili kundi ambalo liliamini PESA NDIO KILA KITU WAKASAHAU MUNGU. SHUKRANI JK KWA HILI KUBWA ULILOLIFANYA MUNGU ATAKULIPA.
 
Mnakumbuka wakati wajumbe wanaimba "Tuna imani na lowassa"?? ... jamaa akawa anacheka tu hapo EL kanuna anataka kupasuka
 
Watu wachache sana tunaoelewa huu uzi huyo ndio ir jeshi mkuu kama hamumjui JK piteni mbali na uzi huu.

Sisi wengine kwa uzalendo wetu tunamjua huyu Vasco Dagama kama mwizi tu aliyeiuza nchi yetu kwa waarabu na kumtumia swahiba wake Shimbo kama dalali wa kuiza nchi yetu kwa wachina!!
 
attachment.php
 
Habari wadau..

Mwaka umeisha, mwaka wa nyimbo za wagombea kuchezwa hadi harusini.

Mtu niliyemdharau sana na kuamini ni dhaifu mwaka huu nimeona kumbe ni kidume kweli tofaut na nilivyokuwa namfikiria.

Kwa drama zake za kukatana dom na skendo ya kuzama na majina mfukoni.

Na kumpitisha mtu mfumo unaemtaka bila wanachama zaidi 3000 kujua.

Watu wanashtuka game imeshaisha..

Mtoto wa msoga kweli kauzu akiamua

Picha inaonesha mtoto wa Msoga akitoka nje anashangilia Dodoma baada ya kazi kumalizika huku kaka yake wa Masasi akibaki anacheka kuonesha amekubali sarakasi za mwenyekiti.
Mbona mnataka kuandika upya historia? Magufuli hakuwa choice ya Kikwete hata kidogo. Aliyesisitiza jina la Magufuli ni Mkapa. Aliyeona mbali ni Mkapa, si Kikwete. Kikwete alikuwa na candidates watatu. Membe, Migiro na Makamba. Hawa walifunikwa na Magufuli kwa sababu baada ya kukataliwa Lowassa, wafuasi wa Lowassa, ili kuhakikisha kuwa Membe hapati, walitoa kura zao kwa Magufuli. Mkwere hakuwa na jinsi hapa kama vile Nyerere hakuwa na jinsi kati ya Salim na Mwinyi mwaka 1985.
 
kwa akili hii lazima uwe kuna kilevi unatumia.
 
Goli la dakika ya tisini,, halafu tunarudi kupumzika msoga... Jamaa wanaendelea na Propaganda huku wameshashindwa..
 
Mbona mnataka kuandika upya historia? Magufuli hakuwa choice ya Kikwete hata kidogo. Aliyesisitiza jina la Magufuli ni Mkapa. Aliyeona mbali ni Mkapa, si Kikwete. Kikwete alikuwa na candidates watatu. Membe, Migiro na Makamba. Hawa walifunikwa na Magufuli kwa sababu baada ya kukataliwa Lowassa, wafuasi wa Lowassa, ili kuhakikisha kuwa Membe hapati, walitoa kura zao kwa Magufuli. Mkwere hakuwa na jinsi hapa kama vile Nyerere hakuwa na jinsi kati ya Salim na Mwinyi mwaka 1985.

angalia picha hiyo kwa umakini utagundua kitu.. mtu smart anacheza game zake kwa akili ya hali ya juu
 
Kwa madudu ya serikali iliyopita,jk angetuomba watanzania msamahama,tena afanye mapema,
 
Mbona mnataka kuandika upya historia? Magufuli hakuwa choice ya Kikwete hata kidogo. Aliyesisitiza jina la Magufuli ni Mkapa. Aliyeona mbali ni Mkapa, si Kikwete. Kikwete alikuwa na candidates watatu. Membe, Migiro na Makamba. Hawa walifunikwa na Magufuli kwa sababu baada ya kukataliwa Lowassa, wafuasi wa Lowassa, ili kuhakikisha kuwa Membe hapati, walitoa kura zao kwa Magufuli. Mkwere hakuwa na jinsi hapa kama vile Nyerere hakuwa na jinsi kati ya Salim na Mwinyi mwaka 1985.

Jasusi hili lako ndio neno, wengine wanatapa tapa tu kumpa ujiko mkweree!!
 
Hakika ilikua siku ya historia maana tulisubiri mkato wa fisadi kwa hisani ya msoga mpaka usiku wa manane kama tunasubiri mwaka mpya.
 
Mbona mnataka kuandika upya historia? Magufuli hakuwa choice ya Kikwete hata kidogo. Aliyesisitiza jina la Magufuli ni Mkapa. Aliyeona mbali ni Mkapa, si Kikwete. Kikwete alikuwa na candidates watatu. Membe, Migiro na Makamba. Hawa walifunikwa na Magufuli kwa sababu baada ya kukataliwa Lowassa, wafuasi wa Lowassa, ili kuhakikisha kuwa Membe hapati, walitoa kura zao kwa Magufuli. Mkwere hakuwa na jinsi hapa kama vile Nyerere hakuwa na jinsi kati ya Salim na Mwinyi mwaka 1985.

Top five yote ilikuwa chaguo la JK na majina alikuwa nayo mfukoni toka ajavuka ubungo mataa. Hakuna asiyemtaka ambaye aliingia top five Mkapa angekuwa na nguvu hiyo Makongoro angepenya, japo tunakubali wastaafu walikuwa na turufu ila jk ndio alikuwa final say. Na aliwamaliza kabisa alipoteka wale wakenya wenu wa IT ile ndio ilikuwa pumzi yenu ya mwisho
 
Back
Top Bottom