20 most Influential JF members 2016

Jamani msiwasahau wazee wa beef wale wakenya wanaoleta habari zao za hovyo hovyo kuhusu Tz au wale wahutu na Tutsi wanaopigana deile kuhusu sijui Kagame na Interahamwe. Michango yao inafanya Jamiiforum ivuke border.
 
20 Most influential Jf members

Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.

Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.


1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone


Sources: Brain yangu.

Terms and condition applied
list fake hii toa nyani hapo weka mzushi
 
Jamani msiwasahau wazee wa beef wale wakenya wanaoleta habari zao za hovyo hovyo kuhusu Tz au wale wahutu na Tutsi wanaopigana deile kuhusu sijui Kagame na Interahamwe. Michango yao inafanya Jamiiforum ivuke border.
Acha tabia hizo.. Ubaguzi wa kitoto
Wale wako wachache humu ndani hivyo mawazo yao hayawezi kuwakilisha kundi kubwa la watu wa nchi zao.. Sioni hata hoja ya kuwajadili
Alafu hata hivyo Jf ni forum kubwa inaheshimika Africa hivyo hao sijui wakenya hawaifanyi ikue hivyo ni sisi wenyewe
 
Kwa mtazamo wako ni kweli na kulingana na vigezo ulivyovitumia wewe

Hapo umegusa majukwaa ya kimbea tu kama celebrity, mmu na mengine kama hayo ambapo mtu anaweza kuongea chochote bila kuwa na uhakika nacho( uzushi)
Haujagusa kabisa majukwaa ambayo yapo more technical na yanayoitaji uwezo Wa hali ya juu hili mtu uchangie japo neno
Mfano Jukwaa la international,technojia,intelligensi,doctor,siasa na mengine kama hayo

My list kutokana michango yao

1)Chief Mkwawa
2)mohamedi Saidi
3)kiranga
4)kuna yule muhindi nimemsahau kidogo
5)Mzee mwanakijiji

Pia kuna baadhi ya member wengi waliokuwa critical thinkers nimewasahau kidogo
 
GENTAMYCINE VS KIRANGA, mtoa mada hujitambui, huyo genta anapost mada nyingi za kijinga then umpambanishe na kiranga(think tank)????? toa genta weka kiranga.
 
20 Most influential Jf members

Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.

Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.


1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone


Sources: Brain yangu.

Terms and condition applied

Nitawajadili member moja moja sifa zao na ni kitu gani kimekufanya uamini wao ni most influential Jf members kwako

Kwanza wewe ni mpenzi wa udaku

1)Mshana Jr
Huyu ni member mwenye tabia za kishirikina na michango yake mingi imebase kwenye uchawi na ulozi, waafrika hata tuwe watu Wa dini vipi hatuwezi kuacha asili yetu ya ushirikina ndio maana huyu mtu amepata wafuasi wengi

2)Nyani Ngabu
Huyu ni member mkongwe Sana na hana michango ya kufanya mtu umsikilize but kwa jinsi watu wanavyoamini yupo USA basi wanampa credit nyingi sana na kumuogopa,watz ujinga wao mtu ukitoka nje ya nchi watakuogopa Sana

3)Matola
Huyu nae ni mkongwe mwanzoni alikuwa ana mambo mengi mapya ya kujifunza kutoka kwake but now days anaonekana kama ana stress nyingi kutokana na maadui aliokuwa nao hapa Jf

4)Eveline salt, Heaven on earth na miss chaga
Hawa ni watu maarufu kule MMU na wanafanana maana inaonekana wote ni nyani wazee waliokoswa koswa na mishale mingi na kupigana vita zote za dunia wanasubir ya mwisho tu pia michango yao mingi wanajiamin kuliko wanaume

5)Faizafoxy
Huyu inasemekana ni Bibi, michango yake mingi iliyompa kick ni hile ya kupinga mfumo Kristo na kutetea wahabism ingawa ni ccm
Kuna vimsemo vingi amevianzisha kama punguani wahedi na pia amekuwa kifimbo cheza hapa Jf

6)Warumi
Huyu ni maarufu sana kule celebrity na mpaka Leo sijuagi jinsia yake (aishakum si matusi) kutokana na michango yake na jinsi vidume vinavyomshambulia kwa kumuona ana tabia za kike ingawa ID yake ni kama masculine

7)Bujibuji
Huyu ni member mwenye masihara sana na ni mchekeshaji mzuri sana ingawa siku hizi amekuwa adimu na wala hachekeshi tena,bosi wangu amewai kuniambia wewe itakuwa ndio bujibuji wa Jf tulicheka sana

8)Gentamycine
Huyu ni member ambaye inasemekana alikuwa na ID ambayo ilinyanyaswa sana hapa Jf ndipo alipohamua kuja na hii ID mpya ya kibabe ambapo mpaka sasa hivi sijaona mtu aliyewahi kumshinda katika vita ya maneno,kejeli na mtusi labda tumpambanishe na yule kilopo lopa Lara 1

9)Nifah na Mamndenyi
Hawa ni wadada wanaoeshimu sana utu wao na Wa watu wengine na hawana makuu kule mmu

Social forum ndio sehemu pekee hata mtoto Mdogo au kichaa anaweza kuandika chochote bila kupata upinzani wowote kwa kisingizio cha this is free country.
 
Acha tabia hizo.. Ubaguzi wa kitoto
Wale wako wachache humu ndani hivyo mawazo yao hayawezi kuwakilisha kundi kubwa la watu wa nchi zao.. Sioni hata hoja ya kuwajadili
Alafu hata hivyo Jf ni forum kubwa inaheshimika Africa hivyo hao sijui wakenya hawaifanyi ikue hivyo ni sisi wenyewe
Soma vizuri. I was trying to be sarcastic
 
Ni 2015 Na sio 2016 uwezi pima ushawishi Wa MTU katika miezi michache ya mwaka wanastahili ila tuzo za mwaka 2016 zitatolewa mwaka 2017 Na pia kuna wengine awana ushawishi katika jf ila ni wachangiaji tu Na wapo jf kikazi kwa hiyo lazima kila post yenye maslai yao lazima wachangie
 
tuzo wanapeana kindugu mwanangu Kua uyaone eti watu MMU wamejaa kibao kweli?? :(
wako wapi
chief mkwawa na wenzake?
NB:Sio wote hawakustahili wengine ni observer Kila siku but no comment and no threads :D:D:D
 
20 Most influential Jf members

Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.

Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.


1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone


Sources: Brain yangu.

Terms and condition applied

The BEST Eveline salt
 
.
00d7a21edf69769a039991e01a100353.jpg

This list sponsored by Wakongwe
My ribs plz!!!!!!!!!!
.....................
 
Back
Top Bottom