Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,554
- 119,871
And you really think I will shed tears over that? You keep on flattering yourself.
Hell if I care if you shed a tear or shi.t your pants....
And you really think I will shed tears over that? You keep on flattering yourself.
Pale Michenzani kuliwahi kuwepo na flying toilet, ilikuwa ni tabia mbaya mno, hii ilitokana na matatizo makubwa ya maji, huku wakaazi wengi wakiwa hawana uwezo wa kununua pump za maji. Halmashauri ya Manispaa ilishindwa kabisa kukemea vyoo hivyo vya kupaa...
Kupitia michezo ya kuigiza, taratibu vyoo vya kupaa vilianza kupungua.
Ubinafsi ndio unatuangusha, angalia EL, Karamagi, RA etc. wanaangalia matumbo yao. Kila anayejenga bongo anataka kuwa na septic and sewer tank yake, tuondokane na hilo tuwe na centralised system ambayo ndio itakuwa nyenzo ya kuleta usafi kwa ujumla. Mikoani na vijijini haina neno.
Ni vyoo ndani ya mfuko wa Rambo, Baada ya kujisaidia mtu hurusha mbali mfuko huo wa Rambo wenye kinyesi ndani yake..
Wazanzibari wana mambo....
Kibunango hiyo "flying toilet" ndiyo ikoje?
heheee ! hali ni mbaya nyumbani lakini sasa mmezidi kupasua watu mbavu !
KadaMpinzani,
Vyoo vya aina hiyo viko sana Scandinavia, hasa kule mashambani. Enzi za uanafunzi Europe, tulikuwa tukienda kuchapa mzigo huko basi watu wanamaliza shughuli zao, baadaye mfuko unafungwa vizuri na kwenda kutupwa sehemu maalumu. Choo ni kizuri kabisa, tatizo tu ni hilo la kila siku kubadilisha mifuko.
Kwa Tanzania hiyo ni balaa kabisa.

Wakuu hili swala lina ukweli ndani yake,na lina nistaajabisha kwa kiasi fulani.duh! kama huo ndo ukweli basi ukweli unauma!.
We Kibunango wewe hizo picha sio Tanzania bana....sisi Watanzania hatuko hivyo bana. Acha kutudhalilisha bana...
Hell if I care if you shed a tear or shi.t your pants....