Wakuu,
Karibu wenye kila mkutano wa ndani ambao Rais Samia huwa mgeni rasmi, huwa kunakuwa na vikundi vywa kutumbuiza yaani wasanii wakubwa wa muziki, wa mashaiemri, kuna ngoma nk.
Sasa wasanii hawa wakimaliza kufanya shughuli zao huenda moja kwa moja kwa Rais Samia kupokea bahasha zao na...
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga Dalmia Mikaya kwa kushirikiana na Taasisi ya Watoto Foundation wamekabidhi madaftari zaidi ya 1000 katika Shule tatu za msingi kwa Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika Jiji la Tanga.
Akiongea wakati...
Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa mkono wa pole kwa familia ya mwanamuziki mkongwe wa dansi, Marehemu Boniface Kikumbi "King Kiki" na familia ya Muigizaji marehemu Fred Kiluswa kwa kuwapatia rambirambi ya Shilingi Milioni 10 kila familia.
Rambirambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.