Wakuu
Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange upya kwani ligi bado ni mbichi hii.
=====
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amepiga marufuku...
Leo ni tarehe 7 thursday november 2024,yanga imefungwa mfululizo na Azam na Tabora,hii ni mzuri sana kwa watu wanaojua mpira hii inaitwa the calls,hii itawafanya Yanga wakae sawa kuangalia timu yao wapi panapovuja,
Nakuambia hivi the next Yanga baada ya haya matokeo itakuwa Yanga ya hatari...
Uwanja wa Liti ni mgumu sana na kwa aina ya wachezaji wa Singida, Yanga hakuwa na uhakika wa kutoboa mechi hiyo, Singida wametoa sare moja t na JKT na wote aliokutana nao amewaua, wana wachezaji wenye uwezo wa kupambana na klabu yoyote ile nchini, hivyo gemu ingechezwa Liti kule kwao mkubwa...
Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za Yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa Yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi...
Afisa habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amesema:
"Nataka niwaambie tu Yanga hii bado, Januari kutakuwa na ongezeko la mchezaji mwingine wa kigeni. Kwa hiyo haijakamilika, tunahitaji kuchukuwa ubingwa wa Afrika"
"Huyo mchezaji aliyemsema Rais Hersi tumemleta alikuwepo uwanjani katika mchezo...
Ni fahari iliyopitiliza, lakini hali hii itadumaza soka la Bongo. Yanga imeendelea kupaa kiufundi na kuzipita timu nyingine kwa mbali, ikiwemo mtani wake Simba, huku sisi mashabiki wa Azam tukikomaa na timu zingine ambazo zina uwezo wa wastani, ikiwemo Makolowidi.
Kufungwa mfululizo kwa...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Juma Ally Magoma na mwenzake Geofrey Mwaipopo waliyokuwa wameikata dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Dar es Salaam, Young African Sports, maarufu kama Yanga.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Septemba 9, 2024 na Naibu wa...
Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.
Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.
Hapa chini...
Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati klabu bora zaidi kwa sasa ni Yanga SC, ukubali ukatae ila huu ndio ukweli mchungu. Binafsi sijaona klabu inayo weza kupambana na Yanga uwanjani ikatoka na matokeo chanya.
Mimi sio shabiki wala mwanachama wa klabu ya Yanga SC wala katika maisha yangu mpaka...
Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli.
Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii...
Hakuna timu nyingine utamkuta kocha ana furaha na wachezaji wake kama alivyo Gamondi.
Kwa furaha hii, tuendelee kuiona Yanga ikichukua mataji baada ya mataji.
Na Jumamos ijayo Vital'O ya Burundi itakula goli nyingi sana pale Chamazi.
.
Makolozidadi endeleeni kununa.😛😛😛
Salamu ni upotezaji wa muda twende moja kwa moja kwenye mada.
Tangu Yanga waibamize Simba 'Kigoli' kimoja huyu msemaji ambaye siku za hivi karibuni alionesha kuitaka sana hiyo kazi.
Hata kupelekea dogo msemaji kujiuzulu.
Leo yupo kimyaaaaaaa hakuna mahali alipojitokeza kuonesha kafurahishwa...
GSM Kudhamini timu nyingine saba za Ligi kuu siyo FAIR. Kinachotakiwa kwa Sasa ni timu nyingine kushitaki FIFA.
Barbara Gonzalez alipambana na Hilo na akafanikiwa. Hivi Mwenyekiti wa Simba ana shida gani? Mbona halaumu kuhusu Hilo suala.
CEO wa Simba mbona halisemei Hilo? Msemaji wa Simba...
Ukiichukia hii timu Awana habari na wewe,,na Wala sio shida zao itakulazimu uukubali ukweli tu maana Amna namna yoyote Ile utaitumia kujifariji, Wao wanachokifanya ni kuacha miguu yao iongee na sio mipasho na propaganda! Kamchapa Ts Galax ya Africa kusini 1-0, kamchapa kaizer chief 4-0...
Aisee kwa boli lile mutafika mbali sana msimu huu wa mashindano ya CAF. Lakini na nyinyi lambalamba mnazingua bhana munafungwaje migoli ya kidwanzi Kama ile.
Azizi Ki umekuwa kocha mchezaji aisee, Mobeto bado hajakubemenda tu! Anyway napata shida maana nilikuwa natamani utopolo wapigike ili mji...
Ofisa mtendaji wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' alishindwa kuvumilia hadi dakika ya mwisho ya mchezo wa fainali Ngao ya Jamii, na badala yake aliamua kuondoka uwanjani.
Soma Pia: Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024
Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa.
Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira.
Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida...
Match Day
⚽ Azam FC vs Yanga SC
🏟️ Benjamin Mkapa Stadium
🛡️ Community Shield.
📅 11.08.2024
⏰ 7:00pm
#Daimambelenyumamwiko#
Tukutane saa Moja kwa Updates...
Mwanzo mwisho!!
Kikosi Cha Yanga Kinachoanza.
KIKOSI CHA AZAM
Updates....
Timu zote sasa zinaingia uwanjani ili mchezo uanze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.