Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa kutokana na kutokamilika kwa upelelezi ambapo anashtakiwa kwa makosa 29 ikiwamo ya uhujumu uchumi...
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 11 imeshindwa kuendelea kutokana na Hakimu kupata hudhuru.
Mara ya mwisho kesi...
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imeahirisha kesi inayowakabili washtakiwa tisa wa kesi ya mauaji ya Asimwe Novart, mtoto aliyekuwa na Ualbino ambaye aliuawa na baadhi ya viungo vyake kukutwa vimenyofolewa wilayani Muleba mkoani Kagera mwezi Mei mwaka huu.
Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba...
MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE
YA MUMBAI-DAR ES SALAAM
04 Novemba 2024, Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi.
Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
Maziko ya Mwanafunzi Jonathan Makanyaga (6) wa darasa la kwanza Shule ya msingi Mrupanga, Rau Kusini mkoani Kilimanjaro yameshindikana kufanyika leo baada ya Polisi kuiambia Familia kuwa uchunguzi wa mwili bado haujakamilika.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro amesema baada ya Familia kuwa na...
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa kwa mara ya 10, leo Oktoba 10, huku Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Kassim Nassir akiileza mahakama hiyo kuwa upelelezi wake utakamilika ndani ya siku 90.
Sabaya na wenzake...
Kesi ya ufisadi nchini Afrika Kusini inayomkabili Rais wa zamani Jacob Zuma imeahirishwa tena kusubiri matokeo ya rufaa ya kiongozi huyo wa zamani ya kutaka mwendesha mashtaka wa serikali aondolewe kwenye kesi hiyo.
Zuma hakuwepo katika Mahakama Kuu ya Pietermaritzburg kutokana na "dharura ya...
Leo tarehe 23/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Jumatatu, tarehe 22 Novemba, 2021.
Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 18/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi
Ungana nami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.