wimbo bora

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the official anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka 2024 kutoka kwa wasanii wa kurap Tanzania?

    Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi. Malengo siku moja, sisi wanachama...
  2. L

    JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka Afrika kutoka kwa msanii wa kike?

    Helo! Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya tuzo hizi umeanza. Pigia kura wimbo wako bora kati ya wasanii hao waliofanya vizuri Afrika kwa mwaka wa 2024.
  3. sinza pazuri

    Hongera Juma Jux kwa kufikisha viewers million 100: 'Enjoy' ndio wimbo bora wa mwaka 2023

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa rekodi nyingine imeandikwa. Sasa Jux anaingia kwenda orodha ya wasanii waliofikisha views million 100. Hongera sana brotherman Juma Mkambala kwa hakika enjoy ndio wimbo bora wa mwaka 2023. Huu wimbo umetumika kuburudisha watu wengi kwenye mwaka 2023.
Back
Top Bottom