Wakuu,
Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu.
Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina...
Wakuu salam,
Wakati tunaongea mambo mengine tukumbushane mara moja upande wa malezi ya watoto hasa kipindi hiki ambako digitali inaenda kasi.
Watoto wengi wakati huu wapo exposed kwenye ulimwengu wa digitali kupitia TV, simu, laptops, magemu nk. Leo tuongelee upande huu wa games, ambayo yapo...
Wakuu,
Imekuwa ni kawaida au tuseme fashion kwa wazazi/walezi kupost picha au video za watoto mtandani.
Picha au video hizo zinaweza kuwa za vichekesho, matukio mbalimbali ya maisha au mtoto anaambiwa afanye tukio fulani huku akirekodiwa na kisha kupostiwa mtandaoni au hata vitendo vya aibu...
Katika ulimwengu ambapo watoto "wanakua kidijitali," ni muhimu kuwasaidia kujifunza dhana nzuri za matumizi ya kidijitali na uraia. Wazazi wana jukumu muhimu katika kufundisha ujuzi huu.
Weka mipaka. Jua marafiki wa watoto wako, mtandaoni na nje ya mtandao. Jua ni mifumo gani na programu ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.